Waafrica wengi tunathamini visivyo na faida.Hua nasemaga tujifunze kutoa thamani kwa vitu vyenye faida . Hata uwe na PhD ya Kiingereza ukiwa unatoka Africa, hutaweza kuongea kiingereza kizuri kama cha mwiingereza aliemaliza secondary. Ila kitu cha mhimu je hizo sentences za huyo mwingereza zina content gani? SO what matters si kiingereza ni content au message. Tuache ulimbukeni.Hao hao wanaomcheka rais ndo baadae wanadai tubadili elimu iwe kwa kiswahili,which is which!
Una uhakika gani kama hachekwi? na Tundu lissu alicheka lini kiingereza cha Magufuli?
Mbona mitandaoni watu wanamcheka Trump wakidai ameoa immigrant huku akikejeli immigrants?
Official ni yupiHuyo sio mke pekee wa Trump, jamaa ana wake zaidi ya watatu.
Kucheka lafudhi ndio umburula wa hali ya juu kabisa wa viwango vya lami. Mtu anaweza kuongea kiingereza fasaha kabisa kwa lafudhi ya kihindi, Kijapan, kihaya n.k. Ila anayekosea kabisa ni lazima akosolewe ili ajifunze.Katika mambo yoote niliyosikia kuhusu Mke wa D.Trump, Melania Trump sijawahi kusikia Wazungu wakicheka lafudhi ya Kiingereza chake, huyu Mama anatokea nchi ya Slovenia ambayo iko Ulaya ya Mashariki hivyo Kiingereza chake ni cha kujifunza tena ukubwani, lkn hakuna Mzungu anayeona kuwa ni ishu, sasa ni kwa nini?
Hivi huyu Mama angekuwa ni Mtanzania au Mwafrika halafu anaongea kiingereza kwa lafudhi ya Kitanzania, hali ingekuwaje?
Je, ni kwa nini sisi (Waafrika) ambao wote siyo native english speakers huwa tunawacheka Waafrika wenzetu wasio na lafudhi ya Kizungu, ili hali sisi wenyewe hatujui hicho kiingereza chenyewe? Hivi mtu kama Tundu Lisu ambaye amezaliwa na kukulia Singida Mashariki ana uhalali gani wa kukosoa na kucheka Kiingereza cha Raisi Magufuli, kweli? Kuna mtu anaweza kunielewesha hapa?
Melania Trump!
![]()
![]()
Kucheka lafudhi ndio umburula wa hali ya juu kabisa wa viwango vya lami. Mtu anaweza kuongea kiingereza fasaha kabisa kwa lafudhi ya kihindi, Kijapan, kihaya n.k. Ila anayekosea kabisa ni lazima akosolewe ili ajifunze.
Una uhakika gani kama hachekwi? na Tundu lissu alicheka lini kiingereza cha Magufuli?
Mbona mitandaoni watu wanamcheka Trump wakidai ameoa immigrant huku akikejeli immigrants?
Mkuu,
Hakuna anayependa kumcheka mwenzake akiwa anatema yai ila tatizo linakuja pale unapokuwa unanifanya kuleta umahiri katika lugha za watu hujui chochote.
Kama lugha haipandi kwanini usitumie lugha unayoandika na kuzungumza kwa ufasaha?
Au kabla ya kuandika kitu inabidi aulize wajuvi wa lugha hiyo nayo ni njia mojawapo ya kujifunza.
Then huwezi ukafika mpaka elimu ya juu still unashindwa kuandika au kuzungumza japo ile basic English language.
Kukosolewa na kuchekwa itasaidia upate mzuka wa kujifunza na kufanya mazoezi mengi sana ili uweze vizuri katika kutema yai.
ushasema illegal na legal tayariHivi kuna tofauti yoyote kati ya legal and illegal immigrants!!?
Nichangie kidogo mada nzuri sana hii. Neno kuu katika mada yako ni DHAFULI. Bongo sidhani kama lafudhi ndio inayoshangaza watu. Mbona makabila tofauti wanaongea Kiswahili kwa lafudhi zao lakini haina tatizo lolote na tunaelewana vizuri sana tu kama ilivyo kwa Melania Trump anavyoeleweka huko kwao?
Ni rahisi sana kujua huyu ni mmasai, mchaga, mjaluo, mhaya, mmakonde, msukuma, n.k. kwa lafudhi zao. Vivyo hivyo ni rahisi kujua huyu ni mnigeria, mmalawi, mkenya, mhindi, mchina, n.k kwa lafudhi za kiingereza chao.
So, tatizo letu sio lafudhi usitake kupindisha mambo hapa. Tatizo letu ni HATUJUI KIINGEREZA period. Kuanzia tense, grammar, kote huko ni majanga. Mtu alitaka kumaanisha jana badala yake anamaanisha kesho au anashindwa kabisa kumaanisha kwa kuishiwa maneno (vocabulary) au hajui ayapangilir vipi. Mwisho anaishia kutia aibu. Hilo ndio tatizo la kiingereza chetu na ndio hasa HOJA.
Wanajua vizuri sana Melania hajakulia katika jamii ambayo Kiingereza ni miongoni mwa lugha rasmi. Lakini pia tatizo letu sio lafudhi na grammer kwenye kuongea tu hata kuandika sentensi iliyonyooka ni majanga pamoja official medium of instruction kuwa kiingereza kuanzia sekondari hadi uprofesa.Siyo kweli Melania Trump anafanya makosa pia ya grammer mengi tu tena wkt mwingine anakwama kabisa lkn Wazungu hawacheki, sasa ni kwa nini ndiyo swali langu!
Wanajua vizuri sana Melania hajakulia katika jamii ambayo Kiingereza ni miongoni mwa lugha rasmi. Lakini pia tatizo letu sio lafudhi na grammer kwenye kuongea tu hata kuandika sentensi iliyonyooka ni majanga pamoja official medium of instruction kuwa kiingereza kuanzia sekondari hadi uprofesa.
Mkuu, dawa ya tatizo sio kulificha nyuma ya visingizio lukuki bali kuliweka hadharani likatafutiwa dawa ya kudumu japo chungu.