Hahaha my ribs
Aisee you are absolutely righ. Inaonekana wewe ni zaidi ya great thinker ila umeishawahi kujiuliza kwanini wanaume wengi siku hizi wana makalio makubwa? Nadhani ni mabadiliko tu kuwa wanawake watakuwa na vitambi na wanaume watakuwa na makalio makubwa. TUJIPANGE WANAUME.
Sasa umkute kwenye daladala kakaa kiti cha koridoni waeza sema kapakata nini huyu??!!
Apande bodaboda we kaa kwa nyuma...kama mimba ya mbuzi!!!!
Jamani hawa ni Mama zetu, shangazi zetu, dada zetu, mabinti zetu, hebu tuwe na staha na heshima
Miss u..!!hapana.......
wewe mwehu kweli au punga mbona waandika upuuziAisee you are absolutely righ. Inaonekana wewe ni zaidi ya great thinker ila umeishawahi kujiuliza kwanini wanaume wengi siku hizi wana makalio makubwa? Nadhani ni mabadiliko tu kuwa wanawake watakuwa na vitambi na wanaume watakuwa na makalio makubwa. TUJIPANGE WANAUME.
Nimemiss Mrembo by Nature jamani............
Ana kitambi naye?
Shouger mwenzio nalea siku hizi, hapa naingia tu kwa kubip.....hopeful umepona vizuri mpnz
Hahahatatizo hela bwana wewe....unadhani vyepe kitimoto na bia ndio chakula bora? ah wapi. in order to eat healthy food u need money!!!!