Mbona Wanawake siwaelewi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbona Wanawake siwaelewi!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Washawasha, Feb 27, 2011.

 1. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Habari zenu waungwana?ni hivi leo nitaanza na hadithi kabla ya kuuliza swali
  Hadithi x2,hadithi njoo uongo njoo utamu kolea
  Hapo zamani za kale kulikuwa na babu mmoja na ngamia wake pamoja mtoto wake wa kiume,yule mzee alimuambia mwanawe ya kwamba binadamu hawakosi cha kusema hivi tunavyotembea utawasikisia tu wakisema na walikuwa wanatembea kwa miguu bila kumpanda yule Ngamia ndipo walipofika ktk kijiji cha kwanza watu wakawashangaa kwann hawampandi yule ngamia?
  Baba akamuambia mwanawe umesikia?sasa mimi nampanda wewe tembea kwa miguu
  Walipofika kijiji cha pili,watu wakaanza kuongea ya kwamba yule mzee ana roho mbaya kwann kampanda ngamia na kumuacha mtoto wake akitembea kwa miguu?
  Ndipo mzee aliposhuka na kumuambia mwanawe,unasikia wanavyoongea?panda wewe ngamia mie nitaenda kwa miguu
  Walipofika kijiji cha 3,watu wakaanza kuongea kuwa yule mtoto hana adabu kwann ampande ngamia amuache baba yake akitembea kwa miguu?
  Lengo la kutoa hadithi hii ni kwamba binafsi mademu wananichanganya
  1.Ukimchakachua sana analalamika,mara oh nimechoka kila cku huchoki tu
  2.Ukimchakachua kidogo anasema una nyumba ndogo
  3.Usipomchakachua kabisa full vikao
  Kwani tatizo liko wapi?
  Naomba mnisaidie
   
 2. Lord

  Lord Member

  #2
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kila kitu ni kwa kiasi kaka... Usizidishe usipunguze.
   
 3. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  nitajitahidi kupima nione itakuwaje
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  hata wanawake hawawaelewi wanaume
   
 5. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  kwenye nini?
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hata wewe sikuelewi na thread yako!Siumuulize huyo aliyeleta hayo madai!
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kifupi hueleweki kabisa!
   
 8. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #8
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  wewe ndiye ambaye hujaelewa walioelewa mbona wamejibu
   
 9. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  sio kwa mwanamke mmoja ambaye amelalamika hivi ni wanawake na ndio maana nikauliza kwa ujumla ili kutaka kujua,hili suala linatokana na nini au ni mapozi tu
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa siungewauliza!
   
 11. LD

  LD JF-Expert Member

  #11
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kuchakachua mwanamke maana yake ni nini???????????
   
 12. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #12
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  kufanya naye tendo la ndoa
   
 13. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #13
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kamwe hautakaa uwaelew till the end of your life......good bey washawasha :hand:
   
 14. mundo

  mundo JF-Expert Member

  #14
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  tendo la uumbaji
   
Loading...