Lol! Mie mnyarwanda ila nna pua ya kiswahili. Sijui ntakufaa?
mna unatafuta warwanda kny forum za kitanzania??? si uperuzi forums za kinyarwanda.....ambu be realistic.
Lol! Mie mnyarwanda ila nna pua ya kiswahili. Sijui ntakufaa?
she au he?!
@ kalawetu; Ukipata demu wa kinyarwanda na mimi nataka, mana nasikia wana Nozzles.
This is our ancestor's political party. Nobody had ever changed his nature therefore CCM daima.
Brother wamaanisha pana watu wataangamia?Janga lingine la Kitaifa hili!!!