Tokea jana kila nikipita mjini watu wapo busy na shughuli zao na mji upo kimya kama vile leo hakuna tukio muhimu la kuapishwa Rais wao kipenzi aliepita kwa kura za kishindo/tsunami. Watu wengine wakiwa kwenye daladala ndo wanashangaa wanaposikia radio ikitangaza.
Tokea jana (NA SIO JANA TU TANGIA UCHAGUZI ULIPOFANYIKA) kila nikipita mjini (VIJIJINI KUMBE HUKWENDA? NA SEHEMU GANI ULIPITA ZITAJE) watu wapo busy (SIO KWELI MBONA SIE TUMEPUMZIKA ) na shughuli zao na mji upo kimya ( TANGIA JANA WATU WAMEKESHA WW NDIO UNALALA MAPEMA NA UNAKAA NJE YA MJI) kama vile leo hakuna tukio muhimu la kuapishwa Rais (JK CHAGUO LA WATANZANIA WALIO WENGI , WEWE HAUMO LAKINI) wao kipenzi aliepita kwa kura za kishindo/tsunami (CCM OYEEEEEEEEE) . Watu wengine wakiwa kwenye daladala (KWENYE NDEGE JE ?) ndo wanashangaa (WANAFURAHIA KIMOYOMOYO) wanaposikia radio ikitangaza (JK NI MSHINDI NA WAKAANZA KURUKA RUKA NA KUFURAHI)

Huwezi kumsherekea (MBONA SIE TUMESHEHEREKEA TENA MPAKA ASUBUHI) mtu ambaye hukumchagua (AMECHAGULIWA NA WENGI 61.17% NI USHINDI WA SUNAMI),na ndiomaana hata dk slaa (ANA HASIRA AMEBWAGWA ALIDHANIA URAIS MCHEZO, AMEFUNDISHWA ADABU NA JK) hajaenda kwenye unafki (SHEREHE ADHIMU YA KUAPISHWA RAIS JK KIPENZI CHA WATANZANIA) huuHuwezi kumsherekea mtu ambaye hukumchagua,na ndiomaana hata dk sl hajaenda kwenye unafki huu