Wakati Chadema kupitia Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe, wamekuwa watetezi wa haki za wanyonge lakini cha kushangaza hadi sasa wafanyakazi wake wa Gazeti la Tanzania Daima, wanalia njaa ya kukosa mishahara, je hili ndg zangu ni haki kwa kiongozi mkubwa kama huyu ambaye ameaminiwa na Watanzania wengi kutokana na harakati zake?
Business is a separate entity from the owner...[/QUOT
sure katika princepal za biashara moja inaitwa Seperate entry entity ambayo inasema the owner of business and the business are two things differently. biaashara nzuri ni ile inayojiendesha yenyewe, na kama haiwezi kujiendesha hilo ni tatizo la kiutendaji la mkurugenzi na menejimenti yake
Mh. Mbowe hastahili kulaumiwa kwa hili kwa kuwa yeye ni Mkurugenzi na si Meneja au Mhasibu ambao ndio wanashughulikia maswala ya Mishahara, Nidhamu, utendaji kazi na mengineyo.
Jamani jaribu kupima jambo kwa darubini kali kabla ya kuandika.
Wakati Chadema kupitia Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe, wamekuwa watetezi wa haki za wanyonge lakini cha kushangaza hadi sasa wafanyakazi wake wa Gazeti la Tanzania Daima, wanalia njaa ya kukosa mishahara, je hili ndg zangu ni haki kwa kiongozi mkubwa kama huyu ambaye ameaminiwa na Watanzania wengi kutokana na harakati zake?
Umbea wako peleka gazeti la uharo!mbona mimi ni mwandishi wa tanzania daima sijalia!achana na mwenyekiti wetu.
Magamba mnahangaika mno, poleni sana. Chama chenu kimekufa tu hata mfanyeje! Na hivi ndio mnaharibu kabisa tunawaona matapeli tu.Wakati
Chadema kupitia Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe, wamekuwa watetezi wa
haki za wanyonge lakini cha kushangaza hadi sasa wafanyakazi wake wa
Gazeti la Tanzania Daima, wanalia njaa ya kukosa mishahara, je hili ndg
zangu ni haki kwa kiongozi mkubwa kama huyu ambaye ameaminiwa na
Watanzania wengi kutokana na harakati zake?
Zanzibar ipo afrika na afrika ni yetu sote, Zanzibar ni nchi ndogo sana na ikiwa mtagombana hatuwezi kuweka WAKIMBIZI! kwa hiyo nina haki ya kuchangia mambo yanayohusu Afrika!Wewe umedai umejiunga na Jf kwa sababu ya wajumbe wa tume ya katiba kutoka zanzibar, sasa mambo ya huyu mjinga yanakuhusu nini? wacha majungu wewe!
Another form of Tuntemeke!
matokeo ya simba jamani vipi?[/QUSimba 1 es setif 3.simba inasonga mbele
Kampuni haina uhusiano na Mbowe, vipi kampuni hiyo haina manager? Au manager ni Mbowe?