Sokomoko
JF-Expert Member
- Mar 29, 2008
- 1,915
- 127
Wadau,
Mbona simsikii tena Dada Yondo yupo wapi? namiss sana masongi yake na jinsi anavyoselebuka ni waimbaji wachache sana wenye kipaji cha kuyarudi kama yeye. Mwenye taarifa zake atujuze.
YouTube - (Congo-Soukous)Yondo Sister-Wapi Yo(Paris version)