Mbona sijielewi jamani?

Mbona sijielewi jamani?

tutsi gal

Member
Joined
May 24, 2014
Posts
33
Reaction score
10
Wadau naomba ushauri wenu. Mimi ni binti wa miaka 24, kila nikipendwa napendeka haswaaa lakini inafika kipindi namchoka kupita kiasi huyo anipendae.

Inafikiaga hadi hatua ya kutaka kuletewa barua lakini huwa mimi mwenyewe na kataa. Naikifika kipindi huyo mchumba ninae mkataza kuleta barua akighaili mimi ndio nakuwa tayari.

Sasa naomba mnisaidie jamani, hili ni pepo au nini?

Na kama nipepo mbona mimi ni muumini mzuri sana wa dini yangu?
 
ungekuwa wangu ningekutwanga mimba kwanza uzae ukiwa kwenu ndo ungeelewa umuhmu wa ndoa
 
kwanza karibu JF. Pili nadhani una papara ktk maamuzi. tulizana na ufikiri kabla ya kutoa maamuzi.
 
Basi una pepo linalotaka uwe mchepuko tu.! Jitahidi kua mchepuko kwa wanaume wengi ili ufaidi zaidi.
 
Mala mbili tena sehemu muhimu sana

Sehemu muhimu ndo ipo vp???......ok back to topic ni hivi,kama ni mti basi hiki ni kipind ambacho unatoa maua (according to yo age)..kila mtu anataka kuchuma maua na hata vipepeo,nyuki nao wanazengea hapo.

Muda utafika hutawaona hao wawili wawili.....kama ulivyosema hapo juu kuhusu uumini wako basi mshirikishe Mungu akusaidie kukupa wa ubavu wako.Kila la heri
 
asante sana kwa ushauri
 
Wadau naomba ushauri wenu. Mimi ni binti wa miaka 24, kila nikipendwa napendeka haswaaa lakini inafika kipindi namchoka kupita kiasi huyo anipendae.

Inafikiaga hadi hatua ya kutaka kuletewa barua lakini huwa mimi mwenyewe na kataa. Naikifika kipindi huyo mchumba ninae mkataza kuleta barua akighaili mimi ndio nakuwa tayari.

Sasa naomba mnisaidie jamani, hili ni pepo au nini?

Na kama nipepo mbona mimi ni muumini mzuri sana wa dini yangu?
Ukishafikia 30 utakuwa serious, kwa sasa hata huhitaji maombi maana wewe ni mzima wa afya.Kinachokusumbua ni kiburi cha uzima plus ujana
 
Wadau naomba ushauri wenu. Mimi ni binti wa miaka 24, kila nikipendwa napendeka haswaaa lakini inafika kipindi namchoka kupita kiasi huyo anipendae.

Inafikiaga hadi hatua ya kutaka kuletewa barua lakini huwa mimi mwenyewe na kataa. Naikifika kipindi huyo mchumba ninae mkataza kuleta barua akighaili mimi ndio nakuwa tayari.

Sasa naomba mnisaidie jamani, hili ni pepo au nini?

Na kama nipepo mbona mimi ni muumini mzuri sana wa dini yangu?

Ngoja wakumege ungali kigoli ukifika miaka 30 hivi utawatafuta mwenyewe
 
kila jambo na wakati wake.usije amini wa kwako hajazaliwa ndo inaharibu kabisa
 
Wadau naomba ushauri wenu. Mimi ni binti wa miaka 24, kila nikipendwa napendeka haswaaa lakini inafika kipindi namchoka kupita kiasi huyo anipendae.

Inafikiaga hadi hatua ya kutaka kuletewa barua lakini huwa mimi mwenyewe na kataa. Naikifika kipindi huyo mchumba ninae mkataza kuleta barua akighaili mimi ndio nakuwa tayari.

Sasa naomba mnisaidie jamani, hili ni pepo au nini?

Na kama nipepo mbona mimi ni muumini mzuri sana wa dini yangu?

pepo mchafu toka?sali sana si hali ya kawaida
 
Do you know you want? And why do you want what you want?
 
unaogopa komitment, kifupi unaogopa kuwa main course, umezoea kuwa starter au dizeti
 
Back
Top Bottom