Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,275
- 31,404
Ni kweli maana kubadili namba za zamani kuliisha na pikipiki zikahama... D imekuwa kwa magari ya kuagizwa toka nje ya TZ tuUkijumlisha na pikipikinzilizojua zinatumia namba A B C pamoja na magari na yale magari yaliyotoka kwny mfumo wa TZA TZB kama ulivosema jibu linapatikana kwann namba D imekaa sana...
Pikipiki na bajaji ndio zilikuwa zinakimbiza sana hizi namba. Baada ya kuzianzishia namba zake zinazoanza na MC, spidi ikapungua. Kumbuka namba mpya za bajaji na pikipiki zimeanza tulipofika namba D.
Za kubadilishwa ziliishia A na chache sana labda BPia yawezekana kutokana na magari kuwepo wakati mfumo unaanza hivyo namba za zamani ziligeuzwa kwenyye mfumo mpya.
Replacement nyingi ni kwenye A. Ukumbuke kulikuwa na deadline ya kubadili... sidhani kama kuna C ya gari iliyokuwa na TZ...
Zipo namba D zilikua na TZ watu walifufua mikweche kibao baada ya road licence kufutwaReplacement nyingi ni kwenye A. Ukumbuke kulikuwa na deadline ya kubadili... sidhani kama kuna C ya gari iliyokuwa na TZ...
DSasa hivi kwa magari latest number ni ngapi na kwa boda boda lateat ni ngapi?
Nafikiri ni vyema kwenda kwenye importation ya magari, haswa yaliyokuwa cleared, kwa kila mwaka na kila awamu ili kupata jibu la uhakika zaidi.Za kubadilishwa ziliishia A na chache sana labda B
Inaanzaga 101-999
Sababu yenye mantiki hii ahsante sana wengine wanaweka siasa humu mimi nimenunua gari mwaka juzi hadi leo namba bado ni za D tu kingine nafikiri ni purchasing power imepungua
Replacement nyingi ni kwenye A. Ukumbuke kulikuwa na deadline ya kubadili... sidhani kama kuna C ya gari iliyokuwa na TZ...
T *** DTVSasa hivi kwa magari latest number ni ngapi na kwa boda boda lateat ni ngapi?
T *** DTV
Uko nyuma sana..saivi ni DUKT *** DTV
Hakunaga namba I ,O
Ok. Ila mtu smart angeelewa kuwa hii ni TYPONi nini hii
Be smart unapokuwa jf jiachie ukiwa fb
T***DUQT *** DTV