Mbona namba "D" imekaa sana kwenye usajili wa namba za magari? Hutufiki tu "E"?

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
23,430
2,000
Ukijumlisha na pikipikinzilizojua zinatumia namba A B C pamoja na magari na yale magari yaliyotoka kwny mfumo wa TZA TZB kama ulivosema jibu linapatikana kwann namba D imekaa sana...
Ni kweli maana kubadili namba za zamani kuliisha na pikipiki zikahama... D imekuwa kwa magari ya kuagizwa toka nje ya TZ tu
 

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
10,645
2,000
Pikipiki na bajaji ndio zilikuwa zinakimbiza sana hizi namba. Baada ya kuzianzishia namba zake zinazoanza na MC, spidi ikapungua. Kumbuka namba mpya za bajaji na pikipiki zimeanza tulipofika namba D.

Pia yawezekana kutokana na magari kuwepo wakati mfumo unaanza hivyo namba za zamani ziligeuzwa kwenyye mfumo mpya.
 

munisijo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
1,076
2,000
Replacement nyingi ni kwenye A. Ukumbuke kulikuwa na deadline ya kubadili... sidhani kama kuna C ya gari iliyokuwa na TZ...

Ok then, baada ya muda wa replacement kupita, kwa mfano ulikuwa hujabadili ni nini kinatokea? Unatupa hilo gari ama?
Au let say, kama ulikuwa hujabadili and now unataka urudishe gari barabarani ndio haiwezekani ama?

Deadline haikumaanisha baada ya hapo haiwezekani, ilimaanisha hutakuwa subjected na fees and fines
 

UPOPO

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
3,043
2,000
Bado magari ni wachache kwa sababu namba DAA mfano mpaka DTA ni kila DAA inaanza na 101 so kila DAA mpaka sasa DTH ni magari 799 X20 mpaka DTH
 

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
29,282
2,000
Wale jamaa wanaofanya kazi kwny Co. Za Clearing&forwarding ndio uwanja wao huu maana kwa kujua no. Mpya za magari zilizoko hapa mjini ni hatari
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom