Mbona namba "D" imekaa sana kwenye usajili wa namba za magari? Hutufiki tu "E"?

Ni kwa sababu pale mwanzo Pikipiki na bajaj zilikuwa zinatumia namba zenye mfumo huo wa magari, lakini sasa wamebadili, bajaj na pikipiki Zinatumia mfumo wa namba nyingine, na ukiiangalia Bajaj na pikipiki zilikuwa zinaingia kwa wingi, hivyo kukimbiza sana namba, ndio maana unaona namba D imekaa more than 3 yrs now toka 2014
now is 6 years
 
naomba kuuliza hivi inaenda hivi mfano T 500 DAA afu T 501 DAA afu hiyo number ikifika 999 ndo alfa zinabadilika mfano kuwa DAB

kwa maana hiyo DAA ina magari 999
DAB magar 999
na kuendelea had Z ambapo ni herufi 26 ambapo ni magari 25974

then ndo ianze DBA to DBZ tena magar 25974

then DCA to DCZ tena magari 25974

ndo hivo au nakosea

na sijawah ona T 001 au inaanzia 100
Inaanzaga 101-999
 
Soon tu mzee tutafika uko ingwa mimi na subiri mpaka ifike Z ndio ninunue passo
 
Pikipiki na bajaji ndio zilikuwa zinakimbiza sana hizi namba. Baada ya kuzianzishia namba zake zinazoanza na MC, spidi ikapungua. Kumbuka namba mpya za bajaji na pikipiki zimeanza tulipofika namba D.
Sababu yenye mantiki hii ahsante sana wengine wanaweka siasa humu mimi nimenunua gari mwaka juzi hadi leo namba bado ni za D tu kingine nafikiri ni purchasing power imepungua
 
Itakuwa umesahau ....

Namba A, B na C ni replacement ya magari mengi yaliyokuwa kwenye mfumo wa zamani wa TZ i.e. TZA, TZB, TZC kama unakumbuka. Wamiliki walitakiwa kuhamia kwenye mfumo mpya wa T (Namba) ... na kulikuwa na deadline kama sikosei

Hiyo ndio sababu, now D ni magari mapya na yaliyoingizwa nchini kwa mara ya kwanza hivyo ndio kasi halisi
 
Itakuwa umesahau ....

Namba A, B na C ni replacement ya magari mengi yaliyokuwa kwenye mfumo wa zamani wa TZ i.e. TZA, TZB, TZC kama unakumbuka. Wamiliki walitakiwa kuhamia kwenye mfumo mpya wa T (Namba)

Hiyo ndio sababu, now D ni magari mapya na yaliyoingizwa nchini kwa mara ya kwanza hivyo ndio kasi halisi
Ukijumlisha na pikipikinzilizojua zinatumia namba A B C pamoja na magari na yale magari yaliyotoka kwny mfumo wa TZA TZB kama ulivosema jibu linapatikana kwann namba D imekaa sana...
 
Itakuwa umesahau ....

Namba A, B na C ni replacement ya magari mengi yaliyokuwa kwenye mfumo wa zamani wa TZ i.e. TZA, TZB, TZC kama unakumbuka. Wamiliki walitakiwa kuhamia kwenye mfumo mpya wa T (Namba)

Hiyo ndio sababu, now D ni magari mapya na yaliyoingizwa nchini kwa mara ya kwanza hivyo ndio kasi halisi
Replacement nyingi ni kwenye A. Ukumbuke kulikuwa na deadline ya kubadili... sidhani kama kuna C ya gari iliyokuwa na TZ...
 
Back
Top Bottom