Mimi napata shida kuhusu NACTE, tulifanya maombi ya degree mapema kupitia NACTE kabla hata TCU lakini ilikuwa ukiingia kule kwenye systeam yao Vyuo ilikuwa ni kidogo walivyoeka hasa kuhusu course za Health kwa wanaomba degree hakukuwa na chuo hata kimoja mpaka leo watu wamebaki na username zao na passward zao? Ivi ni lini hawa wataekewa hivi vyuo ili watu wa course za health kwa degree waendelee kuomba? ama ndio ile elf50 imekwenda na maji ambayo tumelipia kupitia M-pesa??
Lakini pia nimeona tangazo kwenye ukurasa wa TCU kwamba Application with Diploma itaanza tarehe 8 August., sasa hawa watakaomba hapa kupitia TCU ni nani na kule NACTE ni nani?
Kama wameungana je wale wenye Username na Password za NACTE wataweza ku-login kwenye TCU??
Kwa wenye taarifa kamili tunaomba michango yenu tujuwe nini cha kufanya.