muhogomchungu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 375
- 3
PELEKA HII HOJA MAHAKMA YA KADHI!!!:car:
Mh! Inahusu... Kwani ni lazima kujibu jamani? Kama mtu amepost hoja yake unaona huwezi kuchangia si utambae tu kimya kimya wangu...! Haipendezi bana, tukue
Nadhani jibu la swali lako unalo.Mlimani TV inayomilikiwa na wasomi utakuona akina dada wetu ambao ni watangazaji wakiruhusiwa kuvaa hijab na huku wakiwa Live wanatangaza. hii nimeona ktk taarifa ya habari au hata katika habari nyengine
lkn baadhi ya tv hawaruhusiwi. na hii kutoruhsu uvaaji wa vazi la lazima kwa akina dada wetu wa kiiislam kunaifanya baadhi ya akdada wenye imani ya kweli na dini yao wanashindwa kujiunga na tv hizo huku wakiwa na sifa zao za utangazaji . kwa mfano niliwahi kusoma ktk moja ya gazeti kwamba Sakina dotto alikata kujiunga na Itv baada ya kukuataliwa kuvaa hijab akiwa Online.na wapo wengi tu ambao kwao hijab ni lazima lakina wanasifa zote za kutangaza.
Huku tukiwa tunapigania haki za wanawake Tanzania, yaani wawe huru bila ya kuvunja sheria, vyombo vya habri vikiwa mbele kutetea uhuru wa wanawake,yaani uhuru wa wanawake na kutowanyanyaswa .
Mbona mlimani tv inawezekana na huku Itv, star tv,Tbc haiwezekani? au mlimani tv ni ya waislam?
:behindsofa:niwajuavyo hawa watataka mpaka kuvaa kininja watangazapo
:behindsofa:
Penye ukweli daima watu hutia jazba!wapeni watu uhuru wao!!hakuna wapumbavu siku hizi!
Sioni udhia katika kutumia vazi la hijaab, kwani ni vazi lenye kutunza utu wa mwanamke.
Vazila hijabu linapendeza, wadau wa jf acheni ushabiki. Hili ni vazi kongwe toka enzi za mitume. Ndo maana hata masister wa kikatoliki huvaa vazi hilo safi na kuwaacha waamini wao wakivaa vimini, vijisuruali na vitop ambazo ni mila za kizungu. VAZI LA Hijabu linapendeza saana kinadada/mama livaeni mpendeze
Mlimani TV inayomilikiwa na wasomi utakuona akina dada wetu ambao ni watangazaji wakiruhusiwa kuvaa hijab na huku wakiwa Live wanatangaza. hii nimeona ktk taarifa ya habari au hata katika habari nyengine
lkn baadhi ya tv hawaruhusiwi. na hii kutoruhsu uvaaji wa vazi la lazima kwa akina dada wetu wa kiiislam kunaifanya baadhi ya akdada wenye imani ya kweli na dini yao wanashindwa kujiunga na tv hizo huku wakiwa na sifa zao za utangazaji . kwa mfano niliwahi kusoma ktk moja ya gazeti kwamba Sakina dotto alikata kujiunga na Itv baada ya kukuataliwa kuvaa hijab akiwa Online.na wapo wengi tu ambao kwao hijab ni lazima lakina wanasifa zote za kutangaza.
Huku tukiwa tunapigania haki za wanawake Tanzania, yaani wawe huru bila ya kuvunja sheria, vyombo vya habri vikiwa mbele kutetea uhuru wa wanawake,yaani uhuru wa wanawake na kutowanyanyaswa .
Mbona mlimani tv inawezekana na huku Itv, star tv,Tbc haiwezekani? au mlimani tv ni ya waislam?
inawezekana kwa akina dada kuvaa hijab na kuonekana kwenye tv wakitangaza, wasiwasi wangu ni huu uvaaji wa juba, je nao itakuwaje? nao waruhusiwe?
nani alikuambia ukivaa hijab ndo umetunza utu? Huo ni utamaduni wa mashariki ya kati!