GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Miaka ya nyuma na hasa hasa kuanzia mwaka 2005 hadi 2015 ilikuwa ni nadra sana Mtu kutokumbana na mikwara ( vitisho ) kama hii ( hivi ) pindi unapomkorofisha Mtu au pengine kugusa maslahi yake yoyote yale:
Nitashukuru nikijibiwa na naomba kuwasilisha.
- Oya Kijana hunijui nitakufunga.
- Oya Dogo nitakupoteza.
- Oya Kijana unanijua au unanisikia tu?
- Oya Dogo nitakuweka ndani siku 7 na Familia yako itaabike.
- Oya Kijana hujui kama Mimi ni Mtu wa Serikali ( akimaanisha ile Idara Nyeti na ile moja ya Makao Makuu Upanga )
- Oya Dogo unayapenda maisha yako au umeyachoka?
- Oya Kijana / Dogo unajua nafanya Kazi wapi? Utaumia shauri yako!
Nitashukuru nikijibiwa na naomba kuwasilisha.