Mbona mi chichemi?

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Baada ya kuiona sura ya mmakonde ikiwa na mikwaruzo kibao, mmasai akasema, 'rafikhi, mbona una mistari usoni? au chui ameparua wewe?.Mmakonde ?akamjibu, 'mbona we
umekaa uchi toka arucha hadi mwanja lakini mi chichemi?
 
Back
Top Bottom