Mbona Mbeya hakuna JF wing?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
naona miji yote mikubwa kuna mawing, Dar, Arusha, Mwanza na Tanga. watu wa mbeya vipi? au mko bize sana?
 
naona miji yote mikubwa kuna mawing, Dar, Arusha, Mwanza na Tanga. watu wa mbeya vipi? au mko bize sana?

Tupo jamani ila sijaona wakitaja mbeya wingi

Cha msingi sio kuuliza ama kulalamika,
Play your part, kama upo Mbeya anzisha thread ya kuwaalika mbemba.
Kutaneni na mipango ifanyike, naamini the city ina members wengi sana!
Na hizi wing ni nzuri sana!!!!!!!
cc: Baba V
 
Last edited by a moderator:
Here we go.. Green city lazima tuwe na a very strong wing especially kwa wale mlioko Mbeya, kwa sisi wa diaspora tutakuwa tuna support morally and materially... Pamoja sana
 
Here we go.. Green city lazima tuwe na a very strong wing especially kwa wale mlioko Mbeya, kwa sisi wa diaspora tutakuwa tuna support morally and materially... Pamoja sana

Uko sawa mkuu Baba V,
naanza kwa kuPENDEKEZA jina la wing
iitwe THE GREEN WING/ JF GREEN WING.
 
Last edited by a moderator:
Mwanyasi, the green wing litakuwa jina zuri sana!
 
Last edited by a moderator:
wale wa Uyole...Iyunga na mwanjelwa

umetaja chache Heaven on Earth, pole kwa kuugua!
wale wote wa:
Uyole, RRM (nanenane), Sae, Mama J, Ilomba, Kabwe, Isanga,
Makunguru, Sangu, Airport, Magorofani, Kadege, Forest, Meta, Nzovwe,
Itende, Kalobe, Nonde, Ilemi, Ruanda, Sinde, Makongorosi, Vywawa, Tunduma,
Igawilo, Lujewa, Kiwira, KKK, Tukuyu, Ushirika, Kasumulu, Ikuti, Itumba, Sange, Kibwe........
CC: Lady doctor
 
tupo wengi tu mkuu

Inabidi tutafute namna ya kukutana. Haiwezekani tunaishi kimya kimya hivi! Cc idawa

Tupo sana watu wa mbeya na tunaendelea na ujenzi wa nchi

Kwangu mimi hakuna shaka na tupo wengi but hatutaki kujionyesha onyesha

Mwanyasi, the green wing litakuwa jina zuri sana!

Mimi nadhani Wing ianze na ninyi,
pm zitumike kupanga mahali pa kukutana
Wala siaki kuwasemea, lakini maeneo ya kuelekea Ifisi yametulia!
 
Mimi nadhani Wing ianze na ninyi,
pm zitumike kupanga mahali pa kukutana
Wala siaki kuwasemea, lakini maeneo ya kuelekea Ifisi yametulia!

Duh, mkuu! Ifisi kuna nini kule? Mbona hamna hata sehemu nzuri ya kukutania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…