Mwanzo walikuwa wanakusanya madeni ndio maana walikuwa wanatoka kwenye media kila uchaoUtaratibu wenu wa kutangaza mapato niliupenda sana, lakini ghafla mkaacha. Nini kiliwakuta ghafla mkasitisha? Wanamchi tuna hamu na hako ka utaratibu..! Rudisheni basi, au mtupe sababu ni nini?
Wacha tuisome woteHaaa watatangaza wakati mapato yameshuka kuwa 350b kwa mwezi
Toka tri hadi bilio?Wengine mlisema bora wakae kimya hizo taarifa haziwasaidii chochote na wengine wakadai ni za kupika. Labda wamewasikiliza!!!!
Mbwembwe kwishneywanahakiki mapato, awamu hii ni uhakiki mpaka 2020 hakuna cha maana.
Nchi ya wanyonge, kuna mnyonge analipa kodi? ngoja matajiri waondoke abaki na wanyonge wake.Mbwembwe kwishney
Wewe jeWengine mlisema bora wakae kimya hizo taarifa haziwasaidii chochote na wengine wakadai ni za kupika. Labda wamewasikiliza!!!!
Acha Udwanzi, kama unaona hizo ni za uongo, lete hapa zilizo za kweli...vinginevyo huna jipyaHizi taarifa wewe umetoa wapi au ndio kutudhiirishia matatizo yako ya akili?!
Ndio matatizo ya kumpa nchi mtu ambae alizoea kukariri chemical reactions na mayai ya samaki baharini...hajui hata strategy za kukuza uchumi...Nchi ya wanyonge, kuna mnyonge analipa kodi? ngoja matajiri waondoke abaki na wanyonge wake.
JK alikuwa mchumi na mfanya biashara, huyu ni matamko bila research yoyote.Ndio matatizo ya kumpa nchi mtu ambae alizoea kukariri chemical reactions na mayai ya samaki baharini...hajui hata strategy za kukuza uchumi...
ona sasa TRA hoi ....hamna hata wanachokusanya...
heri kikwete alifika 900b....
Kiki mwishowe zimeisha. Ukweli na uongo haufungamaniUtaratibu wenu wa kutangaza mapato niliupenda sana, lakini ghafla mkaacha. Nini kiliwakuta ghafla mkasitisha? Wanamchi tuna hamu na hako ka utaratibu..! Rudisheni basi, au mtupe sababu ni nini?
kwani lazima?Utaratibu wenu wa kutangaza mapato niliupenda sana, lakini ghafla mkaacha. Nini kiliwakuta ghafla mkasitisha? Wanamchi tuna hamu na hako ka utaratibu..! Rudisheni basi, au mtupe sababu ni nini?
Wameshaanza kudondoka ndio maana huwaoni kututajia mapato ya kila mweziNchi ya wanyonge, kuna mnyonge analipa kodi? ngoja matajiri waondoke abaki na wanyonge wake.
Mzee wa chatle kastuka, kagundua mnapiga hesabu za annual income collected then mnatoa na matumizi ya miradi iliyofanyika. Mwisho wa siku mtajua jinsi anavoiba.Utaratibu wenu wa kutangaza mapato niliupenda sana, lakini ghafla mkaacha. Nini kiliwakuta ghafla mkasitisha? Wanamchi tuna hamu na hako ka utaratibu..! Rudisheni basi, au mtupe sababu ni nini?
Mkuu hii ni kweli! Mbona inaweza kuwa hatari hii.Haaa watatangaza wakati mapato yameshuka kuwa 350b kwa mwezi
Kama walivyoanzisha bila kushauriana na yeyote na ndivyo wamesitisha bila kushirikiana na yeyote,huo utaratibu haupo kisheria kwa hiyo hatuna haki ya kuhojiUtaratibu wenu wa kutangaza mapato niliupenda sana, lakini ghafla mkaacha. Nini kiliwakuta ghafla mkasitisha? Wanamchi tuna hamu na hako ka utaratibu..! Rudisheni basi, au mtupe sababu ni nini?
Lazima nn ?kwani lazima?