Mbona Kimya?

hansb

Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
23
Reaction score
2
Jf imekuwa kimya saana jama...tatizo nn lakini?au watu wamehamia fb?
 
ni kweli jf imepooza kidogo hasa kule jukwaa la siasa
 
Inaanza kupoteza mashiko ...ndio mwanzo wa mwisho wa jf!
 
Wengi wamekosa mkopo wa bodi wanaangaika tutafuta pesa kwenda vyuoni.Ptachangamka tena subiri watulie vyuoni utaona patakuwa hapatoshi
 
wekeni mada motomoto ili watu wavutike; usiniulize kwa nini wewe huweki mada, please.
 
Tusha zoea mambo ya serikali yetu, nothing new
 
kweli imepoa sana, mama mdogo kemea hii hali ikome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…