Mbona kimya sana siku hizi ??

Mu-Israeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
2,454
Reaction score
975
Sijamsikia kabisa huyu jamaa siku za karibuni.
Vipi mbona kimya sana....????
 
yuko bize kuhamishia fedha zake tz toka Uswis
 
yuko bize kuhamishia fedha zake tz toka Uswis

Inawezekana kabisa, maana sijamsikia hata kwenye 'mbio' za urais !!
Ila mhhhh !!, Simba mwenda kimya ...... !!!
 
Subiri kwanza issue za Uswisi zipoe mbona una haraka hivo
 
...hahahaaaa...anafikiria jinsi ya kumwondoa mwenyekiti
 
Likipoa suala la vijisemti vya uswisi utamskia
 
Jana wakati bunge likihitimisha hoja ya mdee aliomba sana mwongozo wa spika, mhagama akampotezea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…