Mbona kama siviamini CHAUMMA na ACT WAZALENDO?

Ingawa nilianza kupiga kura mwaka 2000, lakini sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa.

Ingawa sina Chama, nilikuwa ninafurahia ninapoona ushindani wa kisera kati ya CCM na CHADEMA! Kwa bahati mbaya, mpaka sasa hakuna uhakika wa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa mwaka huu.

Vyama vinavyotajwatajwa kwa sasa ukiacha CHADEMA, ni ACT WAZALENDO na CHAUMA! Lakini mimi nikiviangalia, sioni kama ni vyama vya siasa vibavyotanguliza mbele maslahi ya nchi. Ni kama vile vinafanya maigizo tu ama vinatumiwa na Chama tawala kwa manufaa yake!

Mtu unawezaje kukubali kushiriki uchaguzi ambao unafahamu ni mshindani wako ndiye mwenye uamuzi wa mwisho juu ya matokeo?

Mtu unakubalije kushiriki uchaguzi ambao unaona wazi kabisa kuwa hauna maslahi kwa Taifa? Ubunge na udiwani ni bora kuliko matakwa ya wananchi?

Kuna anayeweza kunishawishi niwaamini akina ZITTO KABWE, JOHN MREMA, SALUM MWALIMU, n.k?
Endeleakuviamini kwa vihatarishi vyako mwenyewe.
 
Hivyo vyama ni mpango wa kando wa chama cha majambazi
 
Njaa haina baunsa!
Ila sasa hivi CHAUMA wana hela hakuna mfano. Wamepanga kuizunguka nchi nzima kwa chopa ndani ya siku kumi na sita, nafikiri watatumia chopa ya kukodi. Sidhani kama walishawahi kufanya jambo kubwa kama hilo tokea kuanzishwa kwake!

CHAUMA "imekua" kutoka uchanga hadi "utu uzima" ndani ya miezi kadhaa.
 
Kwenye hii thread yako umeuliza maswali na majibu umeyatowa mwenyewe.

Mimi nakazia tu.🔨🔨
 
Ila sasa hivi CHAUMA wana hela hakuna mfano. Wamepanga kuizunguka nchi nzima kwa chopa ndani ya siku kumi na sita, nafikiri watatumia chopa ya kukodi. Sidhani kama walishawahi kufanya jambo kubwa kama hilo tokea kuanzishwa kwake!

CHAUMA "imekua" kutoka uchanga hadi "utu uzima" ndani ya miezi kadhaa.
Screenshot_20250524_072256.jpg
 
Vyama vyote ikiwemo Chadema ni vyama vya System hata mgogoro wa Chadema ni mkakati wa System kuhakikisha Samia anaingia Madarakani kirahisi.

Samia ndio Mgombea CCM ambaye ni dhaifu kuliko wote, but for some reason Chadema wakagombana na kugawanyika...
 
chadema nayo kidogo iingie kwenye mtego wa ccm kabla ya Lissu.
Mwanzoni nilikuwa na mashaka na Lissu, kwamba ana misimamo mikali sana. Lakini kwa sasa nimeamini ni aina ya hiyo misimamo ndiyo inayohitajika kwa sasa.

Hata mimi kwa sasa ninaimba NO REFORM NO ELECTION ingawa si mfuasinwa Chama chochote.

Sina Chama, lakini nikikutana na mchango wa TONE TONE nachangia kwa furaha!
 
Ila sasa hivi CHAUMA wana hela hakuna mfano. Wamepanga kuizunguka nchi nzima kwa chopa ndani ya siku kumi na sita, nafikiri watatumia chopa ya kukodi. Sidhani kama walishawahi kufanya jambo kubwa kama hilo tokea kuanzishwa kwake!

CHAUMA "imekua" kutoka uchanga hadi "utu uzima" ndani ya miezi kadhaa.
Kuna watu/taasisi nyuma ya pazia zinaratibu/finance hizi mambo
 
Samia Vs Hashim Rungwe,na bado CCM wataiba kura ili wamshinde
Hawawezi kuiba kwa factors zilizo wazi, ukiachilia kwamba hata kura zikipigwa kihalali CHAUMA hawawezi hata kupata Mbunge mmoja lakini pia hata wakishinda ujue kuwa wataukataa ushindi kwani itakuwa wameenda kinyume na makubaliano kati yao na utawala unaowawezesha kwenye huo utitiri wa ma-V8 na mishahara ya hawa viongozi ‘waliowapokea’ kwa hisani ya viongozi wa CCM na nchi kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom