4.5 M ni pesa ya kawaida sana. Usiwaze mambo makubwa. Biashara zitakazokutoa zaidi kwa pesa hiyo ni zile ambazo wewe mwenyewe utashiriki moja kwa moja e.g ununue na uendeshe bodaboda, Ufanye biashara ya kuuza chakula, Udobi, Ununue underwear kwa jumla uuze rejareja, Biashara ya vinywaji hasa vinywaji baridi (soda, juisi, maji n.k) kama una sehemu iliyochangamka....n.k. nk.
KILA RAHELI