Mbona kama ADDICTION ya Tamthiliya inarudi tena?

Mbona kama ADDICTION ya Tamthiliya inarudi tena?

Chemwali

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
397
Reaction score
178
Jamani jamani. I hate kutawaliwa na jambo naona sasa hali hii yanijia last month nimeanza kufatilia series niliyoikuta imeshaanza Star Tv yaani MARACLARA, aiseee huyu Director this time amefanikiwa kunikamata, Ameniteka loh mbona nilishaacha kufatiliya tamthiliyaaa nini tena hiki..hapa nasubiria tu Ijumaa naona haifiki
 
Bwana bwana mwenyewe nishakuwa ka chizi. Nilikuwa siwezi kaa kuangalia kitu kinachochukua zaidi ya dakika 15 lkn kwa MARAClARA nimenyoosha mikono.Natamani nifunge kwa maombi ili mama yake na Gerry apone ule mdomo aseme ukweli.Lol!
 
hahaha yaani nimejikuta badala ya kuendelea kuwatch sometimes nacheki saa kwamba bado dk ngapi iishe then nashusha pumzi za mhhh thanks robo saa bado
 
Chemweli hii tamthilia ni kiboko,binafsi nilishaaga utumwa wa kufatilia tamthilia lkn naona Mara Clara inaniteka! Ila wiki hii nimejilazimisha kutoiangalia
 
Last edited by a moderator:
Addiction nyengine ni kujiendekeza tu
 
uwezo na umaili mkubwa ktk tamthilia husika ndo jambo pekee wasanii wetu wanatakiwa kujifunza.
 
Jamani jamani. I hate kutawaliwa na jambo naona sasa hali hii yanijia last month nimeanza kufatilia series niliyoikuta imeshaanza Star Tv yaani MARACLARA, aiseee huyu Director this time amefanikiwa kunikamata, Ameniteka loh mbona nilishaacha kufatiliya tamthiliyaaa nini tena hiki..hapa nasubiria tu Ijumaa naona haifiki

Hii series imewagawa watu katika makundi sita;

1. Responsible fathers (Amande) and 2. Irresponsible fathers (Gary)
3. Responsible mothers (Sussane) and 4. Irresponsible mothers (Avira)
5.Good and loyal girls (Mara) and 6. Bad girls (Clara).

Mimi wanangu wananiita Amande wewe kwenye hii series umewekwa kwenye jina gani?
 
Namshukuru Mungu nilidhamiria kuacha kuangalia hizo tamthilia na nikaweza....

Aisee ni utumwa!!!
 
Mi napenda kuwa m2mwa wa tamthiliya kwani siwezi kulala bila tamthiya! Ila itv na capital wananinyima raha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom