Mbona huyu ni tofauti na hawa wengine

Mbona huyu ni tofauti na hawa wengine

Teinaaa kimbia speed! [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Atakuja kujibu my king Smart911 mwenyewe si kwa challenge zile uwiii sema saiv yupo bize kidoooogo!
Yes my queen.. Super dear...
Mmh mmh we acha tu mahondaw wangu... Ulinipeleka peleka sana... But sikukata tamaa...
 
Uzi kama hizi mnaozielewa eidha akili zenu kama watoa mada au mie ndo kilaza...

Hhahha
 
yeye kala chipsi na wewe umekula chipsi haki ya nani hapo chenga chenga lazima. wewe huwezi kurudia wala yeye hana antena majanga juu ya majanga
 
Atakuwa amekeketwa hivyo harage lote wamelimegua

Aha, kaandika kama shairi ikawa inaniwia vigumu kumuelewa ila kwa kuwa ameshagundua huyo mwanamke hana hicho kitu inabidi awe anaenda na maharage ya kununua dukani kila wanapogegedana
 
  • Thanks
Reactions: OTG
yeye kala chipsi na wewe umekula chipsi haki ya nani hapo chenga chenga lazima. wewe huwezi kurudia wala yeye hana antena majanga juu ya majanga
Hiki ni chuma cha kale hakijalishi kimekula nini tena huwa naisimamia kama baiskeli kwenye mlima
 
Back
Top Bottom