Mbona huyu ni tofauti na hawa wengine

Mbona huyu ni tofauti na hawa wengine

Kwani wewe huyo smart911 ulimsumbua kwa muda gani kuwekana sawa ili nami ni serious kuanzia leo mtu akikubali kirahisi nikimbie
Teinaaa kimbia speed! [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Atakuja kujibu my king Smart911 mwenyewe si kwa challenge zile uwiii sema saiv yupo bize kidoooogo!
 
Mkuu Kama antena wametoa aweke king'amuzi labda channels zinaweza kurudi.
 
  • Thanks
Reactions: 247
Alikuwa demu wa musoma huyo labda , jitahidi uwe mwaminifu kwa mkeo
 
Good..

Mungu akuponye tuu..

Msamlie dawa yako smart911
That's great if everything is good bro.

Inshallah Mungu ni mwema

Smart911 is doing well bro just responsibilities zimembana kidogo but soon will be here peruzing...

Sawa Will give his salam. Thanks [emoji120]
 
Back
Top Bottom