Mbona husomeki... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbona husomeki...

Discussion in 'Jamii Photos' started by Wilbert1974, Jul 27, 2012.

 1. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  funny49.jpg

  Mmh mi sijamfamu anamaanisha nini hapa?!
  Yaani 2do na watoto?
  Au 2do ili kupata watoto?
   
 2. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Both wrong....Yaani 2do ili kulisha na kulea watoto! Ni kitega uchumi atiii!
   
 3. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani mimi na yeye hapo to do ili tumfurahishe mtoto, si unaona hapo nimemshika mtoto mkono naenda kwa huo dada dogo akaone show ya weekend!!
   
 4. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Fanya sex kwa minajili ya kupata watoto tu.

  Kwa maana nyingine, usiwe mtu wa kufanya sex ovyo ovyo tu...fanya na mkeo tu tena si kila wakati bali kwa malengo ya kupata watoto tu.

  Ni kampeni ya kusisitiza watu kuacha umalaya.
   
Loading...