Mbona humu ni mapenzi tu!

Mbona humu ni mapenzi tu!

Msimlaumu sana huyu kijana ni mbinu tu amebadilisha. Alianza kutafuta mpenzi amekosa sasa kaja na gear ya rafiki nadhani akishindwa na mbinu hii mpya atakuja na mbinu ya nafasi za kazi kwa wadada.
 
Msimlaumu sana huyu kijana ni mbinu tu amebadilisha. Alianza kutafuta mpenzi amekosa sasa kaja na gear ya rafiki nadhani akishindwa na mbinu hii mpya atakuja na mbinu ya nafasi za kazi kwa wadada.

Haha haaaaa...wacha tusubir kifuatacho
 
Love Connect ni sub forum iliyopo ndani ya MMU na huko ndio watu wenye uhitaji wa urafiki huweka mabandiko yao...

Sasa sijui weye mleta mada unalalama kwa kutojua muundo wa MMU au kwa sababu debe tupu huwa halikosi mlio...!!!
 
Division five hii jmn ,msimlaumu sana

Umempendelea mkuu kwa kumpa dibision 5. Mwenyewe kasema anasifa kama mandela (kibabu), so lazima atakua ni kihana wa zamani alieishia la nne.
 
Kwa mujibu wa jina lake forum hii ni ya Mapenzi,Mahusiano na Urafiki !
Lakini mimi huwa nashangazwa sehemu kubwa yanayoongelewa humu ni mapenzi !sijaona watu wakiongelea urafiki
Kwa kunzia mimi natafuta rafiki awe na umri wa kunzia miaka 30 ! na awe mwanamke!
Bahati mbaya sina electronic copy ya picha yangu ningeipost ila sfa zangu ni kama Mandela!

Bila mapenzi ungezaliwa?
 
Una maana wewe ni marehemu
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha aaaaah jmani jeiefu haiishi vituko. Unajua umenifanya nirudie tena kuusoma uzi kwa makini hahahahahahahahaha jamani umenichekesha sana.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha aaaaah jmani jeiefu haiishi vituko. Unajua umenifanya nirudie tena kuusoma uzi kwa makini hahahahahahahahaha jamani umenichekesha sana.

hujamwamsha bwana nanii!! angalia wewe!
 
duuuu edit post yako aisee....sidhani kama kuna mtu anataka rafiki ambaye ni marehemu
 
Kwa mujibu wa jina lake forum hii ni ya Mapenzi,Mahusiano na Urafiki ! Lakini mimi huwa nashangazwa sehemu kubwa yanayoongelewa humu ni mapenzi !sijaona watu wakiongelea urafiki Kwa kunzia mimi natafuta rafiki awe na umri wa kunzia miaka 30 ! na awe mwanamke! Bahati mbaya sina electronic copy ya picha yangu ningeipost ila sfa zangu ni kama Mandela!
Mbona wewe umeweka kichwa cha habari chenye neno "mapenzi" . Ungekuwa na wazo mbadala ungeliandika.
 
Haaa kwa hiyo wewe ni wa wake watatu ama?
 
Na ww kimekuleta nini hapa kama sio mapenzi.mapenzi yana run dunia.
 
Back
Top Bottom