nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
yaani unaweza kufungwa kwaajili ya watu ama sura yako imefanana na mandela...
sijakuelewa ujue.
sijakuelewa ujue.
Una maana wewe ni marehemu
Division five hii jmn ,msimlaumu sana
ndio,mamb poa tu,sijui wewe?sina usingizi,weekend nitakuwa mitaa ya kati
Kwa mujibu wa jina lake forum hii ni ya Mapenzi,Mahusiano na Urafiki !
Lakini mimi huwa nashangazwa sehemu kubwa yanayoongelewa humu ni mapenzi !sijaona watu wakiongelea urafiki
Kwa kunzia mimi natafuta rafiki awe na umri wa kunzia miaka 30 ! na awe mwanamke!
Bahati mbaya sina electronic copy ya picha yangu ningeipost ila sfa zangu ni kama Mandela!
Mwee! Umri wako miaka 90 unataka mtoto wa miaka 30 hii si sawa.Kwa mujibu wa jina lake forum hii ni ya Mapenzi,Mahusiano na Urafiki !