Mbona humu ni mapenzi tu!

Mbona humu ni mapenzi tu!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,098
Reaction score
10,934
Kwa mujibu wa jina lake forum hii ni ya Mapenzi,Mahusiano na Urafiki !
Lakini mimi huwa nashangazwa sehemu kubwa yanayoongelewa humu ni mapenzi !sijaona watu wakiongelea urafiki
Kwa kunzia mimi natafuta rafiki awe na umri wa kunzia miaka 30 ! na awe mwanamke!
Bahati mbaya sina electronic copy ya picha yangu ningeipost ila sfa zangu ni kama Mandela!
 
Unatafuta rafiki wa kike, ukimpata mwisho wa siku utataka awe mpenzi wako, kwa nini uzunguke si useme tu unatafuta mpenzi?
 
Kwa mujibu wa jina lake forum hii ni ya Mapenzi,Mahusiano na Urafiki !
Lakini mimi huwa nashangazwa sehemu kubwa yanayoongelewa humu ni mapenzi !sijaona watu wakiongelea urafiki
Kwa kunzia mimi natafuta rafiki awe na umri wa kunzia miaka 30 ! na awe mwanamke!
Bahati mbaya sina electronic copy ya picha yangu ningeipost ila sfa zangu ni kama Mandela!

kaka hebu acha kukurupuka tafuta uzi wenye maana!!!!
 
kwa mujibu wa jina lake forum hii ni ya mapenzi,mahusiano na urafiki !
Lakini mimi huwa nashangazwa sehemu kubwa yanayoongelewa humu ni mapenzi !sijaona watu wakiongelea urafiki
kwa kunzia mimi natafuta rafiki awe na umri wa kunzia miaka 30 ! Na awe mwanamke!
Bahati mbaya sina electronic copy ya picha yangu ningeipost ila sfa zangu ni kama mandela!

mapenzi si urafiki?
Mapenzi si mahusiano?
 
Kwa mujibu wa jina lake forum hii ni ya Mapenzi,Mahusiano na Urafiki !
Lakini mimi huwa nashangazwa sehemu kubwa yanayoongelewa humu ni mapenzi !sijaona watu wakiongelea urafiki
Kwa kunzia mimi natafuta rafiki awe na umri wa kunzia miaka 30 ! na awe mwanamke!
Bahati mbaya sina electronic copy ya picha yangu ningeipost ila sfa zangu ni kama Mandela!

Una maana wewe ni marehemu
 
kwani mapenzi yanaanza na nin kama c urafiki na uhusiano..au mwezetu ulikulupuka tuu..ulikutana na mtu njian mkawawapenzi hapohapo..mkiachwa mnalalamika ....
 
Kwa mujibu wa jina lake forum hii ni ya Mapenzi,Mahusiano na Urafiki !
Lakini mimi huwa nashangazwa sehemu kubwa yanayoongelewa humu ni mapenzi !sijaona watu wakiongelea urafiki
Kwa kunzia mimi natafuta rafiki awe na umri wa kunzia miaka 30 ! na awe mwanamke!
Bahati mbaya sina electronic copy ya picha yangu ningeipost ila sfa zangu ni kama Mandela!

Kijana unaelewa maana ya mapenzi?usije kichwa kichwa na mawazo yako ya upande wa kushoto.
 
Mkuu na wewe ni prisoner? Au umepiga chini winnie unamtafuta Gracia?
 
ANAKWAMBIA ANA SIFA KAMA MANDELA, UNAULIZA PICHA. MANDELA LIWAHI KUWA BOXER NA ALIWAHI KUFUNGWA JELA. Halafu huyu jamaa ana bore, nilidhani anapinga mjadala wa ukurasa huu, kumbe naye anaingia humo humo. Angepinga akataka mjadala mwingi ujikite katika kuibua ubunifu wa shughuli za kiuchumi kuwaokoa vijana nigemuelewa.
Weka picha tuone.
 
Back
Top Bottom