Mbona hawa Sijawaona Msibani?

Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
3,161
5,663
Jamani toka tuanze maombolezo na shughuli nzima za kuaga Mwili wa Mh.JPM sijawaona kabisa viongozi wafuatao

1. Mh. Lowassa-Waziri Mkuu Mstaafu

2.Mbowe Freeman - Aliyekuwa Kiongozi rasmi wa kambi ya upinzani Bungeni ktk Serikali ya Hayati ya kipindi cha miaka 4 ya kwanza.

3. Peter Msigwa - Aliyekuwa Mbunge katika kipindi cha awamu ya miaka 5 ya utawala wa Hayati JPM, lakini kipekee huyu pia ndugu wa karibu wa Hayati JPM

Kwangu hao niliwatarajia kuwaoana na kuwasikia kwa chochote ktk kipindi hiki kipya kwa Taifa letu. Labda tuwalaumu media kwamba hawajapa space

Ongeza na wewe wengine ambao ulitegemea uwe umeshawaona au kuwasikia.
 
IMG_20210325_082017.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom