Wakina Bashiru wana uhalali gani?

NTIGAHELA

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
362
254
.

Kwanza, hao watawala wote waliopo madarakani, sisi wapinzani wala hatukuhusika kuwachagua bali wote hao waliwekwa kibabe mwaka 2020 na 'mwendazake' pamoja na Bashiru Ally. Kwahiyo, matatizo yote haya tunayoyaona yamesababishwa na 'mwendazake' pamoja na Bashiru Ally mwenyewe. Hivyo mpaka sasa wa kulaumiwa ni Bashiru na 'mwendazake'

Pia, Bashiru Ally kwanini aanze kuingilia uhuru wa wananchi ambao wamechagua kumsifia mtawala wao? Hayo matatizo anayoyaona Bashiru, kwani hao wakulima hawayaoni mpaka aanze kuwalaumu kwanini wanamsifia "mama anaupiga mwingi?'

Enzi za JPM, kulikuwa na mgao wa umeme kati ya mwaka 2017 na 2018 mpaka alipoteuliwa Dk. Kalemani... Hiyo kero ya maji ndio kama donda ndugu (miaka na miaka). Ndio maana hata kwenye kampeni za 2020 wagombea karibia wote wa CCM walikuwa wakihubiri majukwaani kutatua kero za Umeme, Maji, Barabara, Elimu na Afya...

Kwahiyo kero zote hizo zilikuwepo isipokuwa 'mwendazake' alifanikiwa tu kutudhibiti sisi wapinzani, media na mitandao ya kijamii ili tusiweze kuyaeneza kila mahali, ndio maana nchi ilikuwa shwari...

Lakini leo hii baada ya mama kuachia huru watu waongee vile wajisikiavyo... Ndio imekuwa 'nongwa'. Matatizo yooote yaliyokuwako huko nyuma sasa anasukumiwa yeye. Huu ni uonevu, unafki na chuki za hali ya juu.

Kwani huwezi kumlaumu mtawala anayejitahidi kusongesha nchi huku kukiwa na vita ya kiuchumi (Urusi na Ukraine) inayotikisa dunia, sambamba na makovu ya Korona... Kisha uanze kumkumbuka 'marehemu' aliyetawala nchi kukiwa na utulivu wa kidunia.

Kwahiyo, kutokana na maoni yake ya kuzuia watu waache kusifia watawala ambao amehusika kuwaweka yeye mwenyewe mwaka 2020.... Kama yangetolewa na mtu mwingine yoyote ambaye hayupo au hakuwepo kwenye utawala huu, basi ningemuunga mkono kwa asilimia 100%. Lakini kwakuwa yametolewa na Bashiru Ally Kakurwa, siwezi kumuunga mkono hata kidogo ingawa maoni yake ni sahihi.

Hiyo ni kwasababu, Bashiru Ally Kakurwa, kipindi cha utawala wa awamu ya tano alikuwa ni Katibu Mkuu wa CCM na baadaye aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi (kufuatia kifo cha Balozi John Kijazi) aliyekuwa ktk nafasi hiyo. Bashiru Ally alikuwa na vyeo viwili. Ni yeye na 'mwendazake' ndio waliohusika kuwaweka madarakani hao anaojifanya kuwatuhumu leo.

Ni ktk awamu hiyo ya tano, ndio tulishuhudia mfumo huo wa kusifu watawala ukistawi kila kona... Na aliyekuwa akisifiwa sana wakati huo ni hayati JPM, aliyesifiwa hata kufananishwa na Yesu, Mussa, Nyerere, Trump, Bulldozer nk. Lakini sio Bashiru Ally wala mwingine yoyote aliyejitokeza hadharani kuelimisha raia wa kawaida wasiwe na tabia ya kusifu watawala. Je, leo hii imekuwaje?

Je, kinachomkera Bashiru Ally ni hizi sifa za "mama anaupiga mwingi" wakati hakuna lolote au Bashiru kiujumla anamaanisha watawala hawapaswi kusifiwa?' Kwanini asinyooke moja kwa moja kuwaambia watu wasimsifie mama kwasababu hakuna analofanya kuliko kusema musiwasifie watawala? Anaogopa nini kama sio unafki?

Kwanini sisi CHADEMA tulipokuwa tunapinga kumsifia JPM kipindi kile cha ununuzi wa ndege 11, Ujenzi wa Reli ya kisasa na Ujenzi wa Flyover tulisema "Hafanyi hayo kwa ela zake na wala sio hisani kwa watanzania, bali ni kutokana na kodi zetu na ni haki yetu" Mbona tulikuwa tunaitwa wapinga maendeleo na tunakwamisha juhudi za JPM? Je, Bashiru Ally kipindi hicho naye si alikuwepo?

Iweje leo hii Bashiru ndio aone kuwa watawala hawapaswi kusifiwa, wakati sisi CHADEMA tulipokuwa tunapinga kusifia watawala Bashiru Ally na mwenzake Humphrey Polepole walituona kama wakwamisha juhudi au kama vile tulikuwa na chuki na JPM?

Au na yeye Bashiru Ally ana chuki na Rais Samia Suluhu Hassan? Maana Bashiru amegusia neno "anaupiga mwingi' na anayesifiwa kuwa "anaupiga mwingi' ni Rais Samia. Je, ina maana Bashiru Ally leo hii ndio anajifanya hajui kuwa CCM ina kawaida ya kuwasifu watawala wao ktk kila zama, kwaajili ya kuwapumbaza wapinzani?

Mzee Kikwete alisifiwa sana enzi za utawala wake, licha ya sisi CHADEMA kujitahidi sana kumkosoa kwa namna mbalimbali... Lakini bado CCM pamoja na watu mbalimbali walimwita Kikwete "Chaguo la Mungu".

Mzee Mwinyi aliitwa "mzee Ruksa" Mkapa aliitwa "Mkweli na Muwazi" na JPM, licha ya kushambuliwa sana na sisi CHADEMA kuwa alikuwa "Dikteta Uchwara" lakini bado alisifiwa kuwa ni "mtetezi wa nyonge".

Leo hii, wananchi wengi wakionekana kulia na hali ngumu ya maisha nchini... CCM lazima watumie 'propaganda' zilezile za kusifu watawala kwaajili ya kuwadhoofisha wapinzani ili wasiielemee CCM na Serikali. Ndio maana kila kona ni sifa za "anaupiga mwingi'. Je, Bashiru Ally hapo anashangazwa na nini wakati utaratibu huo anaujua kwa miaka mingi na alikuwa kimya?

Au kwakuwa amevuliwa Ukatibu Mkuu wa CCM na Ukatibu Mkuu Kiongozi ndio ana chuki binafsi na Rais Samia? Hivyo anajaribu kuhamasisha na wananchi nao waichukie Serikali yao kama anavyoichukia yeye?

Hata kama yupo sahihi.... Wala siwezi kumuunga mkono Bashiru, kwasababu hakuwahi kulisemea hili kipindi anasifiwa JPM. Na pia hata hao anaowalaumu leo... Ni yeye Bashiru na 'mwendazake'ndio waliohusika kuwaweka madarakani mwaka 2020. Kwahiyo, Bashiru Ally ni mnafki.
 
Bashiru bado anaweweseka, akiwaza nguvu kubwa waliyotumia kuchafua uchaguzi mkuu 2020. majina ya watu waliowakata kwenye uteuzi WA ndani CCM, watu waliowateka.... Leo haamini kuwa hayupo kwenye Dola aliyotumia Dola kushika Dola.
Lilobaki atafute msala, asali atubu kwa mola wake.....kuhusu CCM ina wenyewe na ndio waliomweka kando.

Hata Kama tunahitaji kusikia ukweli Ila sio kutoka kwenye kinywa cha mnafiki.
 
Bashiru ni mhalifu, CCM ni wahalifu, mama anaujua uhalifu wa chama chake, waliyofanya uchaguzi uliopita ni uhalifu mkubwa ambao haukustahili kufanyiwa Mtanzania/Mkulima yoyote ambaye leo Bashiru anajifanya kuwasemea.
 
Yeye Bashiru akiwa katibu mkuu ndiye aliyetuletea Bunge hili la CCM tupu, tena CCM mapambio kiasi Mama anapata shida kuteua mawaziri kutoka humo....!
Wao waliamini akili za mtu mmoja kuongoza, ndio hayupo sasa....Sisi tutasifia hawa waliopo, hawa aliotuletea wakati akiwa katibu mkuu CCM.
Yes wanaupiga mwingi, na yeye aliupiga mwingi kutuletea hawa na kuhakikisha wanapita bila kupingwa.
 
.

Kwanza, hao watawala wote waliopo madarakani, sisi wapinzani wala hatukuhusika kuwachagua bali wote hao waliwekwa kibabe mwaka 2020 na 'mwendazake' pamoja na Bashiru Ally. Kwahiyo, matatizo yote haya tunayoyaona yamesababishwa na 'mwendazake' pamoja na Bashiru Ally mwenyewe. Hivyo mpaka sasa wa kulaumiwa ni Bashiru na 'mwendazake'

Pia, Bashiru Ally kwanini aanze kuingilia uhuru wa wananchi ambao wamechagua kumsifia mtawala wao? Hayo matatizo anayoyaona Bashiru, kwani hao wakulima hawayaoni mpaka aanze kuwalaumu kwanini wanamsifia "mama anaupiga mwingi?'

Enzi za JPM, kulikuwa na mgao wa umeme kati ya mwaka 2017 na 2018 mpaka alipoteuliwa Dk. Kalemani... Hiyo kero ya maji ndio kama donda ndugu (miaka na miaka). Ndio maana hata kwenye kampeni za 2020 wagombea karibia wote wa CCM walikuwa wakihubiri majukwaani kutatua kero za Umeme, Maji, Barabara, Elimu na Afya...

Kwahiyo kero zote hizo zilikuwepo isipokuwa 'mwendazake' alifanikiwa tu kutudhibiti sisi wapinzani, media na mitandao ya kijamii ili tusiweze kuyaeneza kila mahali, ndio maana nchi ilikuwa shwari...

Lakini leo hii baada ya mama kuachia huru watu waongee vile wajisikiavyo... Ndio imekuwa 'nongwa'. Matatizo yooote yaliyokuwako huko nyuma sasa anasukumiwa yeye. Huu ni uonevu, unafki na chuki za hali ya juu.

Kwani huwezi kumlaumu mtawala anayejitahidi kusongesha nchi huku kukiwa na vita ya kiuchumi (Urusi na Ukraine) inayotikisa dunia, sambamba na makovu ya Korona... Kisha uanze kumkumbuka 'marehemu' aliyetawala nchi kukiwa na utulivu wa kidunia.

Kwahiyo, kutokana na maoni yake ya kuzuia watu waache kusifia watawala ambao amehusika kuwaweka yeye mwenyewe mwaka 2020.... Kama yangetolewa na mtu mwingine yoyote ambaye hayupo au hakuwepo kwenye utawala huu, basi ningemuunga mkono kwa asilimia 100%. Lakini kwakuwa yametolewa na Bashiru Ally Kakurwa, siwezi kumuunga mkono hata kidogo ingawa maoni yake ni sahihi.

Hiyo ni kwasababu, Bashiru Ally Kakurwa, kipindi cha utawala wa awamu ya tano alikuwa ni Katibu Mkuu wa CCM na baadaye aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi (kufuatia kifo cha Balozi John Kijazi) aliyekuwa ktk nafasi hiyo. Bashiru Ally alikuwa na vyeo viwili. Ni yeye na 'mwendazake' ndio waliohusika kuwaweka madarakani hao anaojifanya kuwatuhumu leo.

Ni ktk awamu hiyo ya tano, ndio tulishuhudia mfumo huo wa kusifu watawala ukistawi kila kona... Na aliyekuwa akisifiwa sana wakati huo ni hayati JPM, aliyesifiwa hata kufananishwa na Yesu, Mussa, Nyerere, Trump, Bulldozer nk. Lakini sio Bashiru Ally wala mwingine yoyote aliyejitokeza hadharani kuelimisha raia wa kawaida wasiwe na tabia ya kusifu watawala. Je, leo hii imekuwaje?

Je, kinachomkera Bashiru Ally ni hizi sifa za "mama anaupiga mwingi" wakati hakuna lolote au Bashiru kiujumla anamaanisha watawala hawapaswi kusifiwa?' Kwanini asinyooke moja kwa moja kuwaambia watu wasimsifie mama kwasababu hakuna analofanya kuliko kusema musiwasifie watawala? Anaogopa nini kama sio unafki?

Kwanini sisi CHADEMA tulipokuwa tunapinga kumsifia JPM kipindi kile cha ununuzi wa ndege 11, Ujenzi wa Reli ya kisasa na Ujenzi wa Flyover tulisema "Hafanyi hayo kwa ela zake na wala sio hisani kwa watanzania, bali ni kutokana na kodi zetu na ni haki yetu" Mbona tulikuwa tunaitwa wapinga maendeleo na tunakwamisha juhudi za JPM? Je, Bashiru Ally kipindi hicho naye si alikuwepo?

Iweje leo hii Bashiru ndio aone kuwa watawala hawapaswi kusifiwa, wakati sisi CHADEMA tulipokuwa tunapinga kusifia watawala Bashiru Ally na mwenzake Humphrey Polepole walituona kama wakwamisha juhudi au kama vile tulikuwa na chuki na JPM?

Au na yeye Bashiru Ally ana chuki na Rais Samia Suluhu Hassan? Maana Bashiru amegusia neno "anaupiga mwingi' na anayesifiwa kuwa "anaupiga mwingi' ni Rais Samia. Je, ina maana Bashiru Ally leo hii ndio anajifanya hajui kuwa CCM ina kawaida ya kuwasifu watawala wao ktk kila zama, kwaajili ya kuwapumbaza wapinzani?

Mzee Kikwete alisifiwa sana enzi za utawala wake, licha ya sisi CHADEMA kujitahidi sana kumkosoa kwa namna mbalimbali... Lakini bado CCM pamoja na watu mbalimbali walimwita Kikwete "Chaguo la Mungu".

Mzee Mwinyi aliitwa "mzee Ruksa" Mkapa aliitwa "Mkweli na Muwazi" na JPM, licha ya kushambuliwa sana na sisi CHADEMA kuwa alikuwa "Dikteta Uchwara" lakini bado alisifiwa kuwa ni "mtetezi wa nyonge".

Leo hii, wananchi wengi wakionekana kulia na hali ngumu ya maisha nchini... CCM lazima watumie 'propaganda' zilezile za kusifu watawala kwaajili ya kuwadhoofisha wapinzani ili wasiielemee CCM na Serikali. Ndio maana kila kona ni sifa za "anaupiga mwingi'. Je, Bashiru Ally hapo anashangazwa na nini wakati utaratibu huo anaujua kwa miaka mingi na alikuwa kimya?

Au kwakuwa amevuliwa Ukatibu Mkuu wa CCM na Ukatibu Mkuu Kiongozi ndio ana chuki binafsi na Rais Samia? Hivyo anajaribu kuhamasisha na wananchi nao waichukie Serikali yao kama anavyoichukia yeye?

Hata kama yupo sahihi.... Wala siwezi kumuunga mkono Bashiru, kwasababu hakuwahi kulisemea hili kipindi anasifiwa JPM. Na pia hata hao anaowalaumu leo... Ni yeye Bashiru na 'mwendazake'ndio waliohusika kuwaweka madarakani mwaka 2020. Kwahiyo, Bashiru Ally ni mnafki.
Umeandika haya yote kumsema Dk. Bashiru? Haya, tumeyaona.
 
Nchi hii hakuna upinzani,kuna wachumia tumbo,wewe ni mmoja wapo,pia jifunze kuandika kwa kifupi maelezo yenye kina,sio huu mzunguko wako wa kuchoshana tu,ndio umeingia kwenye game kutesti zali?,umekaririshwa kuhusu Bashiru na Magufuli?
 
Bashiru ni mhalifu, CCM ni wahalifu, mama anaujua uhalifu wa chama chake, waliyofanya uchaguzi uliopita ni uhalifu mkubwa ambao haukustahili kufanyiwa Mtanzania/Mkulima yoyote ambaye leo Bashiru anajifanya kuwasemea.
Waambie ukweli hawa maumbwa! Uchafuzi ule wa 2020 Mungu anajua! Policcm wanakura kwenye mabegi? Yule mwehu baki na mavi yenu nyumbañi! Dadeki! Eti dokta!
 
Back
Top Bottom