Mbona hawa hawana BUNDUKI wala MABOMU! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbona hawa hawana BUNDUKI wala MABOMU!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Xuma, Sep 19, 2012.

 1. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Huyo ni mmoja wa waandamanaji cheki wanavo mdhiditi usala kwanza kwa wote police na Mwandamanaji! Sijui ingekuwa bongo hapo angekuwa kaisha pata nini kari ya Risasi ya Moto na Bomu la machozi??

  Untitled.png
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,330
  Likes Received: 22,173
  Trophy Points: 280
  wanaheshimu haki za raia wao
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hao polisi ni proffesionals.
   
 4. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,752
  Trophy Points: 280
  hata wa kwetu wanajuwa wajibu wao ili wanaamua kutojali
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Usifananishe nchi zenye kufuata sheria na hapo kwetu Tanzania. Mkuu Xuma

  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwetu saa hizi utumbo nje.
   
 7. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,577
  Likes Received: 846
  Trophy Points: 280
  Ni bora hakuzaliwa bongo na huo ubishi wake
   
 8. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  watu kule wanaelewa nini haki zao........
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hao hao siku nyingine wanakuja hivi:

  [​IMG]
   
 10. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Hapa lazima itakuwa china tu make huwa hawana mchezo! Niliwahi kusikia kuwa kuna mwaka wanafunzi chuo kikuu waliandama rais akaamuru vifaru viende vvikawakanyage na kuwacrash du!
   
 11. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,634
  Likes Received: 2,063
  Trophy Points: 280
  Tatizo police wetu wamaleta hasira binafsi utasema wao ndio wamekosewa kumbe mtu kavunja sheria iliyotungwa na serikali alafu yeye kama police role yake ni kuhakikisha mtu anakamatwa anapelekwa kunakohusika lakini wao wanakuja na hasira binafsi huku wakiwaza jamaa ANADHALILISHA JESHI endapo itaonekana wamezidiwa nguvu (hapa ndio shida badala ya kuangalia sababu zilizofanya raia kuwazidi nguvu wao wanatumia nguvu kupita kiasi kikubwa waonekane washindi wao)
   
 12. C

  Complex number JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Hawapangiwi cha kufanya,ila wanatumia mafunzo"professional ethics"
   
Loading...