Mbona hamwendeshi Pikipiki wanawake!

<br />
<br />
kama issue ya bikra i think for you is no longer the matter hence you are no longer virgine, i mean you are married.
 
Mi naendesha ila kuna siku ilinigalagaza lamini saivi naiogopa sana! Sanlg
 
sijawahi ona mwanamke akiendesha pikipiki kulikoni akina dada na wamama ,vipi huo usafiri mnawaachia wanaume tu ?!
tatizo la pikipiki bwana board ni mwili wako sasa miili yenyewe ndo iyo cha kujifia yaani pikipiki inatisha babu?
 
Sijawahi ona mwanamke akiendesha pikipiki kulikoni akina dada na wamama ,vipi huo usafiri mnawaachia wanaume tu ?!
<br />
<br />
Mh! Hujawaona tu. Mbona wengi hata mim m1 wao. naendesha lucky.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…