Ni balaa kubwa barabara za Dar leo, wanafunzi wanaofanya mitihani ya taifa sijui inakuwaje!!!Karibu mwezi sasa hali ya barabara haifai. Hapa nasikia Bagamoyo Road hakufai, Morogoro Road hakufai, Kilwa Road hakufai. Tatizo nini na tumeambiwa watu wamehamia Dodoma? Kuna watu hawafanyi kazi zao ipasavyo.
Bwax Road wanakaa wengi Matajiri wanamiliki mikoko,Bwax Road inabidi waweke njia nane kama Moro road.Hali ni mbaya sana bagamoyo road
Old bagamoyo road hali ni mbaya hata zaidiHali ni mbaya sana Bagamoyo Road.
Huo mji huwa naona kama ni mji wa mateso sana
Amen...Ni mji wa mateso per se,ni vile tu lazima tupambane mkono uende kinywani mkuu.
Asante kwa mchango wako mzuri wenye hekima.Kuhamia dodoma sio suluhisho,kwan gari zao wame waachia vijana wao,sema nini acha kujifanya mdadisi saaana,wacha wa2 wa UBER tupige kazi kwani nyie hamjui sisi 2kikutana na foleni ndo 2na furahia?