Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 7,451
- 6,566
Vita vya pili ya dunia viliisha 1939-1945.
Mwaka huohuo wa 1945 ikaanzishwa "THE EAST AFRICA WELFARE MUSLIM SOCIETY".
Wako wanaosema kuwa miongoni mwa wachangiaji wakubwa wa MAWAZO NA KIFEDHA wa taasisi hiyo ya kikanda walikuwa ni "wageni" kutoka nje...wapo waliokuwa na ukaribu na "THE AGA KHAN NETWORK FOUNDATION".
Na hawa walikuwa karibu sana na sultan Jamshid ambaye naye alikuwa karibu sana na UFALME WA UINGEREZA (rejea kukimbilia Uingereza kwa sultan huyo baada ya mapinduzi matukufu ya Zanzibar).
Kwa miguso hii ya hoja unaweza kuunganisha mistari ya fikra kati ya hao niliowataja hapo juu.
Tutakuja kuona wabia wetu wa maendeleo (AGHA KHAN NETWORK FOUNDATION) walikuja kuingia ubia na serikali yetu adhimu miaka mingi (1991) baada ya Tanganyika huru na uwepo wa Tanzania.
Hapa panatafakarisha vyema kuwajibu wanaiopinga taasisi adhimu BAKWATA kuwa WABIA HAO waliokuwa nchini kwa miaka mingi kabla ya uhuru si "hawa" wa sasa ambao wako ndani ya MIPAKA ya kidiplomasia na kuijua vyema "SOVEREIGNTY" ya Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania.
Nikirejea huko mwanzo mwa bandiko hili ,utamaizi kuwa "THE EAST WELFARE MUSLIM SOCIETY" haikuwa tu na malengo ya kusimamia MASLAHI ya waislamu wa Tanganyika kwani ndani yake kulikuwa na maslahi mpaka ya waislamu wa Kenya, Zanzibar ,Uganda na Somalia (zote hizi zilikuwa makoloni ya dola la kifalme la Uingereza)...TAFAKARI
Ikumbukwe tulikuwa katika mapambano na harakati za kudai uhuru wa Tanganyika, ingeliwezekanaje tuwe na wenzetu ambao ndani ya TAASISI hiyo kubwa kuna MASLAHI ya nchi ZISIZO ZETU....hatuoni kuwa tungeweza KUHUJUMIWA?
Na hapa hebu nikukumbushe kisa cha UFALME WA UINGEREZA kuwa karibu na TAASISI ya waislamu wa AHMADIYYA dhehebu la Sheikh MIRZA GHULAM haswa wakiwa na lengo la kupunguza KASI ya NGUVU ya baba wa taifa la India ,El Commandante Mahatma Gandhi....
-Rejea na uanzilishwi wa taifa la PAKISTAN ambapo nako kuna wafuasi wengi wa dhehebu la ISMAILIYYA ya wadau wetu wa maendeleo AGA KHAN.
Ushahidi kuwa ilikuwa ni lazima waislamu wawe na taasisi ya NDANI tu na isiyohusisha maslahi ya waislamu wa KENYA ,UGANDA NA SOMALIA (kwani hawatuhusu) na kuwa nao ndani ya TAASISI hiyo kabla na baada tu ya UHURU kungeweza kufifisha HARAKATI ZETU ZA TANGANYIKA HURU na TANZANIA HURU.
Nifupishe bandiko hili kwa kuupongeza uamuzi wa waislamu wa Tanzania kuwa na TAASISI yao ya kiislamu(BAKWATA) ambayo itakuwa HURU kwa ajili ya maslahi yao na ambayo haitotumika KISIRI na wasio watanzania na hata maadui wa uhuru wetu na TUNU zake.
Mwenyezi Mungu anatutaka TUYAPENDE MATAIFA YETU tuliyozaliwa na kuyafia kwani ndipo tulipozaliwa na tutakapozikwa na wala si katika ardhi ya mataifa ya kigeni.
Aya ya Qur'an tukufu "....mataifa na makabila ili mpate tu kujuana na mbora wenu mbele ya Mwenyezi Mungu ni MCHAMUNGU..."
Wayahudi nao ,"....nitamwimbiaje BWANA katika ardhi ya kigeni".
Mwenyezi Mungu awabariki na kuwarehemu wote walioanzisha TAASISI YETU YA BAKWATA aaamin aaaamin
#Idumu BAKWATA
#Lidumu taifa la Tanzania
Usiku huu wa manane(31/8/2024) ninajiandaa nikayaangalie mashindano ya Quran Tukufu kwa wanawake hapo Uwanja wa taifa wa Benjamin Mkapa baada tu ya jua kuchomoza leo jumamosi.
Wabillahi Tawfiq ,
Wallahu A'alam