Mbona Choka hivi??

Mbona Choka hivi??

mbona wote wana sura za bara. Waliogopa kufanya pati kubwa wangeshambuliwa na kunyanyapaliwa
 
jamani hapo mbona panaonekana kama ngome kongwe karibu na forodhani au?

kama ni hapo kweli ni concert hall kubwa linalofanyiwa ma concert yote zenji ambalo lipo katika conservation .....if am wrong dont shoot me 😀

btw hao walishaji na walishwaji keki ningeliulizwa ningeshindwa kujua kama ni wazenji (according to sterio type iliyopo) ningefikiri zaidi kuwa ni watu wa bara

just saying
 
toka lini wazenji wakafanya kitu cha kueleweka....shule na akili kumkichwa ni tatizo. tuwabebe tu hivyohivyo...

we ndio unatatizo na utambuzi wa fahamu zako,sijui shule na akili yako kama vipo sawa.
 
mbona wote wana sura za bara. Waliogopa kufanya pati kubwa wangeshambuliwa na kunyanyapaliwa

Ndo mimi nashangaa hiyo redio ni ya 'wabongo' imeletwa visiwani na wabongo kama wanavyotuletea malaya wao, baa, ngoma za kibaradhuli (kiduku) n.k iweje tena lawama za maandalizi mabovu ziwaendee kwa wasiohusika...mulizeni kusaga kulikoni?
 
we ndio unatatizo na utambuzi wa fahamu zako,sijui shule na akili yako kama vipo sawa.

We angalia hiyo ID yake ilivyopinda pinda utajuwa jinsi ya alivyokuwa hamnazo, ku********zake!
 
Ndo mimi nashangaa hiyo redio ni ya 'wabongo' imeletwa visiwani na wabongo kama wanavyotuletea malaya wao, baa, ngoma za kibaradhuli (kiduku) n.k iweje tena lawama za maandalizi mabovu ziwaendee kwa wasiohusika...mulizeni kusaga kulikoni?

kiukweli redio ni ya watanganyika..... hapa mmewaonea wenzetu hawa wazenji
 
toka lini wazenji wakafanya kitu cha kueleweka....shule na akili kumkichwa ni tatizo. tuwabebe tu hivyohivyo...

Ama kweli mwisho wa dunia umefika! Nyinyi muliokuja kujifunza kuvaa nguo na kutawadha huku ustaarabuni ndiyo munajiona mumewahi?

Kwanza mumewacha kulala kwenye mabanda pamoja na mbuzi na ng'ombe hapa mjini?
 
Ha ha wamechoka hao sijui wanapata wapi uwezo wa kutafuta habari street
 
Wanatumia kidogo kilichopo kwa hekima, wakimaliza kesho watakula nini?
 
toka lini wazenji wakafanya kitu cha kueleweka....shule na akili kumkichwa ni tatizo. tuwabebe tu hivyohivyo...
Ni kweli kabisa mkuu,yaani mimi naomba siku moja muungano ufe na Tanganyika yetu irudi!!
 
Wanatumia kidogo kilichopo kwa hekima, wakimaliza kesho watakula nini?
Hawana kitu mkuu!siyo kama wanabana matumizi!the best way is to maximize revenue to meet you expenditure,but not to minimize your expenditure to meet you revenue!!
 
Ama kweli mwisho wa dunia umefika! Nyinyi muliokuja kujifunza kuvaa nguo na kutawadha huku ustaarabuni ndiyo munajiona mumewahi?

Kwanza mumewacha kulala kwenye mabanda pamoja na mbuzi na ng'ombe hapa mjini?

Kwa hiyo kwa fikira zako watanganyika wote ni waislamu!ingekuwa hivyo si tungeshajiunga na OIC na kuanzisha mahakama ya kazi!kwa taarifa yako watu hawafahamu hata unachokiongea unaposema Kutawadha!kwa kuwa mimi ni muislamu nimekuelewa barabara!!
 
Back
Top Bottom