Mbona Azam UTV hawaoneshi mpira leo?

Hahaa. Yaani jirani wananilaza mapema bila hata kutaka aiseee. Mana mwezi huu wote nilishajiandaaa kuchelewa kulala.


Watuambiage basi.
Lipia dies tivi jirani. Mimi nafurahia nimepata sababu za kwenda kibanda umiza kuchek game
 
Wote twende wapi? Abaki home kule kuna mbu saana.

I meant dstv 19.000....
Hahahaaa. Si atabeba shuka lile la Masai jirani.

Ooh. Tatizo pia michuano yenyewe iko mwishoni na vyuma hivi kuanza kuhama hama upande wa Visimbuzi ni sawa na matumizi mabaya ya pesa jirani. πŸ˜€πŸ˜€

Mechi ya Final ntakwenda kibanda umiza tu jirani. πŸ™ˆπŸ™ˆ
 
Kuwa na utu mkuu.
Tafuta mawasiliano yao wakupe sababu za msingi za kukatika kwa matangazo hayo unayoyapenda.
Msiba mkubwa huu mkuu wavumilie ndugu zetu kwa muda.
Hakuna sababu yoyote ya msingi inayopelekea UBC na Rwanda TV kuwa blocked unapofika muda wa mpira.? wao hawaoneshi its okaym Kwanini wablock hizo channel zingine?
 
Haya yalitokea kwa mengi kwa ruge watu hamkulalama...

Kweli ukifa fukala au hauna status ni tatizo...! Dunia ina vioja hii...!!
Hivi unajielewa kweli ww? Kwanini azam TV wanaziblock UBC na Rwanda Tv unapofika muda wa match ilihali channel yao ya UTV haioneshi mpira?
 
Wako msibani wamepoteza waajira saba kwa mpigo kwenye ajali
Mshana na ww unatetea hili? Sawa kwanini wazifungie UBC na KBC ambazo nazo zinarusha huu mpira? inapofika tu muda match inaanza wanazizima
 
Wanatoa heshima za mwisho, afcon hawaoneshi ila Cecafa inarushwa... Wamezipiga pin chanel zingine zinazorusha mpira kama UBC

Hivi hapo hoja yako ipo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…