Mbona Al-muntazir na shule za waarabu sijawaona mujibu wa sheria

brazuka

Senior Member
May 30, 2014
159
246
wakuu mm kukaa kwang kwny chombo mbona cjawaona watt wakiarabu wa shule za kiislam wanaojiita watanzania kwenye awamu zote za mujib wa sheria???? au uzalendo wa JKT ni wabongo tupu
 
sehem nzuri ya kujifunza maisha unayosimuliwa au muvi ulizowai kuona hasa watt mboga saba. utajifunza na kufanya mambo ambayo hujawai fanya kabisa. Kijeshi hakuna linaloshindikana.(utaikuta iyo slogan)

kwa wadada msipende mteremko (kuangushia) lazma utagegedwa nafkir hii principle ipo kote dunian. so fungua moyo kajifunze uzalendo na mazoezi.
wakuu mm kukaa kwang kwny chombo mbona cjawaona watt wakiarabu wa shule za kiislam wanaojiita watanzania kwenye awamu zote za mujib wa sheria???? au uzalendo wa JKT ni wabongo tupu

Naona posts zako mbili tangu ujiunge JGF zoote unazungumzia JKT tuu!
Ama kweli una mapenzi ya dhati na jeshi. Big up.
 
wakuu mm kukaa kwang kwny chombo mbona cjawaona watt wakiarabu wa shule za kiislam wanaojiita watanzania kwenye awamu zote za mujib wa sheria???? au uzalendo wa JKT ni wabongo tupu

Kukaa kwako kwenye chombo ndio nini?? Halafu kichwa cha taarifa kinasomeka"waarabu sijawaona mujibu wa sheria"..dah kazi ipo nchi hii na mnazidi kuzaliwa na kujiunga na vyombo nyeti kabisa
 
Umeambiwa lazima kila Mtz aende jkt? nenden nyie mnaotafuta mikopo ya vyuo vkuu

we ndo umekariri kila mtu anaeenda jkt anasaka mkopo. Hii ni sheria mkuu ndo maana hata waliofeli baada ya matokeo bado walienda piga depo ruvu apo. USIKARIRI ELEWA MZEE
 
wakuu mm kukaa kwang kwny chombo mbona cjawaona watt wakiarabu wa shule za kiislam wanaojiita watanzania kwenye awamu zote za mujib wa sheria???? au uzalendo wa JKT ni wabongo tupu

Duuuu hapa sijaelewa kitu sasa ndo umeandika nn mwanawanee
 
wakuu mm kukaa kwang kwny chombo mbona cjawaona watt wakiarabu wa shule za kiislam wanaojiita watanzania kwenye awamu zote za mujib wa sheria???? au uzalendo wa JKT ni wabongo tupu
Ungeuliza hivyo na kwenye ajira za umma ningekuona wa maana!nyambafu kabisa
 
Back
Top Bottom