saidi kindole
JF-Expert Member
- Sep 21, 2012
- 310
- 792
Wana jamvi polisi wamepiga marufuku vikao vya nje na vya ndani vya vyama vya siasa nchini, na kama utakumbuka CHADEMA walivamiwa katika kikao chao na viongozi wao kupelekwa polisi.
Sasa leo hii ACT wako kwenye kikao ambacho ndugu Zitto anawasilisha taarifa yake mbona polisi hawawavamii? Au marufuku imeondolewa?
Sasa leo hii ACT wako kwenye kikao ambacho ndugu Zitto anawasilisha taarifa yake mbona polisi hawawavamii? Au marufuku imeondolewa?