Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,663
Saa nyingine kuna watu wanajuta kuzaliwa Africa. Lakini kujuta enyewe hakusaidii kitu. Tumeshazaliwa Africa lazima tupambane. Eti GDP ya Africa ni sawa na GDP ya Jimbo la Carlifonia marekani.
Kweli sasa nimeamini natural resource si chochote si lolote kwa maendeleo ya Africa. Ukweli mmoja mchungu sana. Ila wanasiasa wetu Tanzania ndo wanaimba wimbo wa natural resources baada ya kunyimwa misaada sijui kama kweli natural resource pekee zitatuvusha. Yaani imagine jimbo la carlifornia lina uchumi mkubwa kuliko Africa nzima..... Mbombo ngafu