Mboga tayari

Mboga tayari

Hiyo mboga iwepo na nyama iliyo changanywa na utumbo choma pembeni eh na ugali wa haja,.....
 
Ukitumia mboga za aina hii kitambi utasikia kwa jirani yako kama mshana hivi[emoji23]
 
Ukitumia mboga za aina hii kitambi utasikia kwa jirani yako kama mshana hivi[emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]

Sent from my SM-N910X using JamiiForums mobile app
 
Hii mboga nimeilewa sanaaa!! ukipata mahitaji yote muhimu ikiwa ni pamoja la ugali wa mhogo samaki waliokaangwa kwa ustadi! acha kabisa
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]

Sent from my SM-N910X using JamiiForums mobile app
Kitambi chako mzee umekipunguza najua umeacha kwenda gym[emoji28]
 
Hivi bamia ndio mlenda au mlenda ndio bamia? ? Ufafanuzi tafadhar
 
Hii mboga ugali unashuka vizuri unaweza kumaliza msosi hata wa watu 2
 
Back
Top Bottom