Mgibeon JF-Expert Member Aug 7, 2011 11,292 21,414 Apr 5, 2016 #2 Hapo Mwanangu upate n ugali wa muogo Na Pilipili..!!!
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 284,456 738,851 Apr 5, 2016 Thread starter #3 Mgibeon said: Hapo Mwanangu upate n ugali wa muogo Na Pilipili..!!! Click to expand... Na kamongo
EMMYGUY JF-Expert Member Aug 6, 2015 11,094 25,340 Apr 5, 2016 #5 Mboga hiyo ukiichanganya na dagaa kisha ugali pembeni, asikwambie mtu kijasho lazima kitoke.
S sawabho JF-Expert Member Feb 25, 2011 5,286 3,111 Apr 5, 2016 #7 mshana jr said: Click to expand... Ukitaka kuifaidi hii, changanya na kimorho
M mkupuo JF-Expert Member Apr 6, 2012 1,807 2,043 Apr 5, 2016 #8 Khaaa! sasa mbona umeandaa mboga asubuhi yote hii mkuu badala ya chai/ supu? Au wewe kifungua kinywa chako huwa ni Ugali/kiporo cha wali?
Khaaa! sasa mbona umeandaa mboga asubuhi yote hii mkuu badala ya chai/ supu? Au wewe kifungua kinywa chako huwa ni Ugali/kiporo cha wali?
Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 19,601 15,299 Apr 5, 2016 #9 yaani baada ya kuona hii mboga na mdau mmoja akachombeza ichanganywe na kimorho basi nimejaza likizo kabisa....
yaani baada ya kuona hii mboga na mdau mmoja akachombeza ichanganywe na kimorho basi nimejaza likizo kabisa....
Jerrymsigwa JF-Expert Member Jun 23, 2012 14,084 8,379 Apr 5, 2016 #12 mshana jr said: Na kamongo Click to expand... Kamongo tena? daaaah zile ndevu zake kama kambale ndio shidaa kula
mshana jr said: Na kamongo Click to expand... Kamongo tena? daaaah zile ndevu zake kama kambale ndio shidaa kula
1 1954 JF-Expert Member Nov 14, 2006 11,222 13,665 Apr 5, 2016 #13 mshana jr said: Click to expand... Bonge la bamia...lakini hivyo vyeupe virefu virefu ni nini? inatia wasiwasi, na hasa mtu mwenyewealiyeleta akiwa ni mshana jr. teh teh teh
mshana jr said: Click to expand... Bonge la bamia...lakini hivyo vyeupe virefu virefu ni nini? inatia wasiwasi, na hasa mtu mwenyewealiyeleta akiwa ni mshana jr. teh teh teh
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 284,456 738,851 Apr 5, 2016 Thread starter #14 1954 said: Bonge la bamia...lakini hivyo vyeupe virefu virefu ni nini? inatia wasiwasi, na hasa mtu mwenyewealiyeleta akiwa ni mshana jr. teh teh teh Click to expand... hivyo ni vitunguu
1954 said: Bonge la bamia...lakini hivyo vyeupe virefu virefu ni nini? inatia wasiwasi, na hasa mtu mwenyewealiyeleta akiwa ni mshana jr. teh teh teh Click to expand... hivyo ni vitunguu
1 1954 JF-Expert Member Nov 14, 2006 11,222 13,665 Apr 5, 2016 #15 mshana jr said: hivyo ni vitunguu Click to expand... Mhhhh, aha....ok..
ikhatibu JF-Expert Member Nov 14, 2013 2,433 2,392 Apr 5, 2016 #16 Unapata papa wa kuchoma na biringanya, la kuchoma. Pembeni kuna bada.
kuduman201036 JF-Expert Member Aug 26, 2015 4,058 2,172 Apr 5, 2016 #17 daaaaaaaaaah ! ngoja nikanunue ka kilo cha dona nije kula kabisa yaani nguna kwa PICHA aiseeeeee ! hiiiii kitu hiii kiituuu hiiiiiiiiii
daaaaaaaaaah ! ngoja nikanunue ka kilo cha dona nije kula kabisa yaani nguna kwa PICHA aiseeeeee ! hiiiii kitu hiii kiituuu hiiiiiiiiii
Ngongo Platinum Member Sep 20, 2008 20,376 35,144 Apr 5, 2016 #18 Hiyo safi ukiwa na Kitimoto pembeni.
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 284,456 738,851 Apr 5, 2016 Thread starter #19 Ngongo said: Hiyo safi ukiwa na Kitimoto pembeni. Click to expand... roast ya mdudu pembeni
HULILO JF-Expert Member Mar 25, 2014 281 391 Apr 5, 2016 #20 Ugali wa muhogo na samaki wa kuchoma pembeni kilo nzima inaisha bila kujua