Mboga ipi ni ya kupika kwa haraka

Ndo navyofanyaga napika mboga za kukaa week mbili
Yeah haswa ukiwa na fridge lenye hali nzuri na ukawa na knowledge nzuri ya uhifadhi wa chakula. Btw mboga zikiungwa kadri zinavyokaa zinazidi kuwa tamu, spices get better with time.

Watu wanaolalamikia chakula kilichohifadhiwa ni either hawana mafridge bora au hawajui kuhifadhi vyakula vizuri vikabaki fresh.
 
Back
Top Bottom