Mbio za Urais: Makamba Jr agawa laki 1 Ruvuma

Mzalendo halisi ndo rais wetu amini usiamini wengine woooooooooote wasindikizaji tu.
 
Pamoja na lugha hafifu ya baadhi ya sarufi (nadhani wewe ni m(u)tu Karatu), ujumbe una mapungufu makubwa, hujaeleza hao aliwapa msaada ni wajumbe katika saccos fulani au kikundi cha vijana,akina mama, wazee au walemavu. Huna tatizo gani, kusema charity start at home?Umeambiwa Makamba jimboni kwake haonekani? Aliyemwelewa mleta hii thread bila kuingiza siasa uchwara anijuze:A S 2152:
 
Waache waje wote hadharani kweupe, Peee.
Tuwaone kwani watanzania wana uzoefu wa kuwatafuta viongozi wao.
Alianza Rais wa awamu ya kwanza Mzee wetu mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi. Julius Kambarage Nyerere.
Akaja Mzee Ruksa, Ali Hassan Mwinyi akampasia "Che Nkapa" Benjamin William Mkapa kamwachia Kijiti Dkt Jakaya Mrisho Kikwete hao wote wamepatikana kwa mizengwe kwelikweli na ni watanzania hawahawa.
Waache waje au wawalete wajianike, Uchaguzi wa mwaka 2015 mazingira yake si ya Ku Bip. Ni ya Kupiga, maana ni Mazingira ya Vyama Vingi katika nchi iliyokomaa Kidenokrasia katika Ukanda huu wa Afrika mashariki na kati. Amini Usiamin hadanganywi mtu hapa.
 
yaaan January makamba naye anautaka urais??? Hapa ameamua either kuuza sura magazetin@front pages au anaosha jina kwa badae,ubunge wenyewe ni wa kutengenezewa eti kupita bila kupingwa hakuna ktu hapo
 
Hivi kweli huyu makamba ni mzima? anawaza uraisi? nani ammpe? hivi ni kweli au anatania? Mungu wangu! Nani alimwambia tunamhitaji awe raisi? Kweli huyu nae ni wa mirembe!:frusty:
 
Mwisho watatuambia hata Kapuya anautaka urais!
 
ULAISI ni njia ya kwenda kijiji gani naomba msaada kwny tuta.
 
Nikisomaga vitu vya hivi hua sielewagi..matokeo yake na concentrate kwenye sarufi..dahh [/ QUOTE]

hiyo haiondoi uhalali wa kufaham kilichomaanishwa, mesahau wakati unatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzio kumbe kwako kuna boriti. nikisomaga...... sielewagi..
 
Hivi kweli huyu makamba ni mzima? anawaza uraisi? nani ammpe? hivi ni kweli au anatania? Mungu wangu! Nani alimwambia tunamhitaji awe raisi? Kweli huyu nae ni wa mirembe!:frusty:

Kama Waziri Mkuu ni Kapuya unashangaa vipi January akiwa Rais?CCM ni ukoo wa panya.
 
Watanzania kuleni fedha ni kodi zenu hizo!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
izi mbio za Ulaisi zimeonekana kulitikisa Taifa hasa kwa hili kundi linalojopambanua kwa jina la Vijana.

Ilianza kama utani ila sasa hii taasisi ya Ulaisi imeonekana kuwa ni sawa na meno kwamba kila mtu anaweza kuwa Laisi wa Taifa hili ambalo kimsingi bado linahitaji mtu hodali, shupavu, jasili na aliyejawa na hekima na busala

Si kweli kwamba kushika nafasi ya Ubunge au Uwazili ama kupats umaalufu wowote ule basi kunakupelekea kuwa na uwezo wa kuongoza Nchi au Taifa kama hili.

Binafsi nimekuwa nikishangazwa sana na baadhi ya watu wanaoutafuta huu Ulaisi tena nimepata kusikia Kigwangala naye anataka Ulais sasa hili Taifa limeshakuwa la wataka Ulais??

Wakati mwingine unaweza kuona mtu ni mwelevu kumbe ndo ile ya waswahili kwamba ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu. Tunshangazwa sana na namna Makamba Jr anavyodanganywa na baadhi ya vijana hasa wakimhadaa kwa nguvu za ajabu.

Tulitazamani kwa nafasi aliyo nayo na kwa uzoefu mdogo alionao kwenye Siasa basi angesha jua nia za Vijana hawa. Na Jk alikwishasema akili ya kuambiwa..........

Yawezekana bwana January unajiandalia mazingila ama unasafisha njia ya huko mbeleni ila sasa njia unayotumia na watu unaowatumia ni reject.

Majuzi umegawa Shilingi Laki 1 kwa taklibani wajumbe 21 Mkoani Ruvuma na muda si mlefu utaelekea Mwanza kwa kazi hiyo hiyo lazma ujitathmini na utizame njia uipitiayo na hao wakupitishao njia hiyo.

Kubwa usisahau ya Martha Kalua wa Kenya manake kwao ndio waliomwangusha kwa kula chache kuliko wagombea wengine sasa wewe blaza Mzee Makamba mwenyewe Sr anasema hajui na hujawahi kumwambua sisi wengine tutegemee nini?

Kama baba ako mzazi tu kashaweka hadhalani hayo........... umesoma nje nadhani na wa huko husema "Charlity begins at Home.............." Japo vijana wako wanasema mzazi wako mmoja ni wa Kanda ya Ziwa ndiyo mana unaanzia huko Iila wengine tunaamini Bumbuli ndiko ulikopaswa..

Kwa kuamini kuwa kiongozi kutoka Kagela au Mbeya ama Dodoma au Dsm watakufikisha Magogoni utakuwa hutendei haki taaluma yako, nafasi aliyokupa Laisi, Wananchi unao wawakilisha, Familia yako iliyosheheni uzoefu pamoja na Taifa hili zima.....

Ujifunze matumizi ya Herufi kwenye L usiweke R na kinyume chake.
Pili hujasema laki mojamoja kazitoa kwa ajili ya nini je kahonga au katoa kwa malipo gani? Kama kahonga na ushahidi unao peleka takukuru kulisaidia taifa kuondokana na tatizo la rushwa. Mwisho umeongea mambo mengi ila unaonekana kujawa na woga labda akiingia kwenye kinyang'anyilo atawapiga chini wengine. Kama ni suala la uwezo unataka awe na uwezo gani mwingine zaidi ya alionao? Punguza woga Ccm inautaratibu wake wa kupata viongozi akiamua kuingia katika kinyang'anyilo na NEC ikampitisha basi huyo atakuwa rais wa watanzania na tutafanya kazi nae.
 
Ama kweli,urais wa nchi hii umekuwa rahisi! hata hawa mbulura nao wanawaza urais?
 
huyu kijana hawezi mbio hizo,naona ameamua kujitokeza wa kwanza ili aweze kuwasindikiza wengine
 
yaaan January makamba naye anautaka urais??? Hapa ameamua either kuuza sura magazetin@front pages au anaosha jina kwa badae,ubunge wenyewe ni wa kutengenezewa eti kupita bila kupingwa hakuna ktu hapo

Hapana anautaka ulaisi . .. Kutokana na maelezo ya mtoa mada ...

Sasa tujiulize nini maana ya ulaisi
 
izi mbio za Ulaisi zimeonekana kulitikisa Taifa hasa kwa hili kundi linalojopambanua kwa jina la Vijana.

Ilianza kama utani ila sasa hii taasisi ya Ulaisi imeonekana kuwa ni sawa na meno kwamba kila mtu anaweza kuwa Laisi wa Taifa hili ambalo kimsingi bado linahitaji mtu hodali, shupavu, jasili na aliyejawa na hekima na busala

Si kweli kwamba kushika nafasi ya Ubunge au Uwazili ama kupats umaalufu wowote ule basi kunakupelekea kuwa na uwezo wa kuongoza Nchi au Taifa kama hili.

Binafsi nimekuwa nikishangazwa sana na baadhi ya watu wanaoutafuta huu Ulaisi tena nimepata kusikia Kigwangala naye anataka Ulais sasa hili Taifa limeshakuwa la wataka Ulais??

Wakati mwingine unaweza kuona mtu ni mwelevu kumbe ndo ile ya waswahili kwamba ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu. Tunshangazwa sana na namna Makamba Jr anavyodanganywa na baadhi ya vijana hasa wakimhadaa kwa nguvu za ajabu.

Tulitazamani kwa nafasi aliyo nayo na kwa uzoefu mdogo alionao kwenye Siasa basi angesha jua nia za Vijana hawa. Na Jk alikwishasema akili ya kuambiwa..........

Yawezekana bwana January unajiandalia mazingila ama unasafisha njia ya huko mbeleni ila sasa njia unayotumia na watu unaowatumia ni reject.

Majuzi umegawa Shilingi Laki 1 kwa taklibani wajumbe 21 Mkoani Ruvuma na muda si mlefu utaelekea Mwanza kwa kazi hiyo hiyo lazma ujitathmini na utizame njia uipitiayo na hao wakupitishao njia hiyo.

Kubwa usisahau ya Martha Kalua wa Kenya manake kwao ndio waliomwangusha kwa kula chache kuliko wagombea wengine sasa wewe blaza Mzee Makamba mwenyewe Sr anasema hajui na hujawahi kumwambua sisi wengine tutegemee nini?

Kama baba ako mzazi tu kashaweka hadhalani hayo........... umesoma nje nadhani na wa huko husema "Charlity begins at Home.............." Japo vijana wako wanasema mzazi wako mmoja ni wa Kanda ya Ziwa ndiyo mana unaanzia huko Iila wengine tunaamini Bumbuli ndiko ulikopaswa..

Kwa kuamini kuwa kiongozi kutoka Kagela au Mbeya ama Dodoma au Dsm watakufikisha Magogoni utakuwa hutendei haki taaluma yako, nafasi aliyokupa Laisi, Wananchi unao wawakilisha, Familia yako iliyosheheni uzoefu pamoja na Taifa hili zima.....

Ulaisi,Laisi,Uwazili IQ yako ipo sawana kuku
 
Back
Top Bottom