Meitinyiku L. Robinson
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 412
- 90
izi mbio za Ulaisi zimeonekana kulitikisa Taifa hasa kwa hili kundi linalojopambanua kwa jina la Vijana.
Ilianza kama utani ila sasa hii taasisi ya Ulaisi imeonekana kuwa ni sawa na meno kwamba kila mtu anaweza kuwa Laisi wa Taifa hili ambalo kimsingi bado linahitaji mtu hodali, shupavu, jasili na aliyejawa na hekima na busala
Si kweli kwamba kushika nafasi ya Ubunge au Uwazili ama kupats umaalufu wowote ule basi kunakupelekea kuwa na uwezo wa kuongoza Nchi au Taifa kama hili.
Binafsi nimekuwa nikishangazwa sana na baadhi ya watu wanaoutafuta huu Ulaisi tena nimepata kusikia Kigwangala naye anataka Ulais sasa hili Taifa limeshakuwa la wataka Ulais??
Wakati mwingine unaweza kuona mtu ni mwelevu kumbe ndo ile ya waswahili kwamba ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu. Tunshangazwa sana na namna Makamba Jr anavyodanganywa na baadhi ya vijana hasa wakimhadaa kwa nguvu za ajabu.
Tulitazamani kwa nafasi aliyo nayo na kwa uzoefu mdogo alionao kwenye Siasa basi angesha jua nia za Vijana hawa. Na Jk alikwishasema akili ya kuambiwa..........
Yawezekana bwana January unajiandalia mazingila ama unasafisha njia ya huko mbeleni ila sasa njia unayotumia na watu unaowatumia ni reject.
Majuzi umegawa Shilingi Laki 1 kwa taklibani wajumbe 21 Mkoani Ruvuma na muda si mlefu utaelekea Mwanza kwa kazi hiyo hiyo lazma ujitathmini na utizame njia uipitiayo na hao wakupitishao njia hiyo.
Kubwa usisahau ya Martha Kalua wa Kenya manake kwao ndio waliomwangusha kwa kula chache kuliko wagombea wengine sasa wewe blaza Mzee Makamba mwenyewe Sr anasema hajui na hujawahi kumwambua sisi wengine tutegemee nini?
Kama baba ako mzazi tu kashaweka hadhalani hayo........... umesoma nje nadhani na wa huko husema "Charlity begins at Home.............." Japo vijana wako wanasema mzazi wako mmoja ni wa Kanda ya Ziwa ndiyo mana unaanzia huko Iila wengine tunaamini Bumbuli ndiko ulikopaswa..
Kwa kuamini kuwa kiongozi kutoka Kagela au Mbeya ama Dodoma au Dsm watakufikisha Magogoni utakuwa hutendei haki taaluma yako, nafasi aliyokupa Laisi, Wananchi unao wawakilisha, Familia yako iliyosheheni uzoefu pamoja na Taifa hili zima.....