Mbio za kumrithi Lema zimeanza Arusha wanachama wa Chadema wajitokeza kwa wingi

Sijawahi kuona ukichangia masuala muhimu ya kitaifa kama katiba wewe ni chaguzi tu ambazo mwisho wake huwa mnaangukia pua.
Kwa kichwa kipi alichonacho huyu hadi achangie mambo yanayohusu ISSUES na sio watu na vyama??!!

Huyu ukipiga kichwa yake X-Ray/au CT Scan utapata picha kama hii.....
2_21_empty_head.jpg
 
Sijawahi kuona ukichangia masuala muhimu ya kitaifa kama katiba wewe ni chaguzi tu ambazo mwisho wake huwa mnaangukia pua.

Mkuu upo JF toka lini? Kwa hiyo kwako uchaguzi sio muhimu? Tafuta thread za katiba utanikuta tu.
 
Kichwa chako rits,lema ndo chaguo le2 kuhusu msando hatutaki m2 wa moshi arusha,lema amekulia arusha mda.kama itatokea kweli hatutaki mhamiaji kama msando,
 
Kama kawaida tatizo kubwa la Watanzania huwa tunasahau mapema mno.

Nimetembea kuanzia KIA, Kikatiti, Maji ya Chai na Usariver! kote huku hawataki kabisa kuiskia CDM!

Mara

Mkuu, we umefika Arusha na mafuriko ya uchaguzi wa Arumeru! Utaondoka, utatuacha na bahati mbaya utakuwa mpole sana siku ya kupanda saibaba pale stendi ya CHAWOTE!

Lakini

Asilimia kubwa ya vijana hawajajiandikisha kupiga kura Arumeru Mashariki.

tehe teh teh na mbuzi na ng'ombe wa kusherehekea usindi wa Sioi hiyo tarehe 1 tumepewa!!!

Tarehe 2 April 2012 ni siku ya malalamiko ya kuibiwa kura kitaifa yatafanyika humu Jamvini.

Wote hawa wasindikizaji!
Ushindi upo CCM!

Mwingine akaomba kabisa ale ban kama Chadema ikishindwa

mimi nawahakikishia wana jf wenzangu arumeru ni ya chadema na naomba rejao na mgamba wengine take note hii kitu na mods wote kama nimesema uongo tar 1 april saa 6 usiku naomba ban ya miezi mitatu...

Lakini wa wengine waka-stick pale pale.

Ni mambo ya kujipanga tu....
Arumeru hatuhitaji kutumia nguvu kubwa cuz tunakubalika!
Vipi, mmeshasolve matatizo ya kifedha yanayowakumba?
CDM kwishney.....
clip_image001.gif
clip_image002.gif

Masikini we! Yaani pamoja na kubeba watu Moshi, Hai, Arusha nk bado ndo mkutano umedoda hivi? Umezidiwa hata na mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kata Mwanza, Aibu!!! Subirini mafuriko Jtatu ndo mtajua CCM mziki mkubwa!

Chadema wanafanya makosa makubwa sana kusomba vijana kutoka Karatu, Hai, Rombo. Vijana hawa sio wenyeji wa Arumeru Mashariki sio wapiga kura sijui wanamdanganya nani. Ni bora mkutano wako wafike watu 50 ambao wapiga kura kuliko wajae watu 10,000 ambao sio wapiga kura.

Landala,
KWAKUWADANGANYA HUKU WENZIO NDIO MTAKUJA SEMA MMEIBIWA KURA. HAKUNA MAHALI CCM WAMEKOSA WATU KAMA UNAVYODAI, SASA SIJUI MWISHO WA UONGO NA UZUSHI KAMA HUU NDIO YALE YA UZINI, CCM 5000, CDM 200.........OOOOOH TUMEIBIWA! SIASA YATAKA TIMING DOGO!!!

Lema, yupo wapi alimpiga mkwala Lowassa, eti akija Arumeru Mashariki atamchafua.

Rejao akaendelea kukaba.

Nana mnajing'ata ng'ata tu....machalii wa moshi na Arusha mjini mliowakodisha mwisho wao kesho...Tunawaacha wana Arumeru waamue wenyewe!!!

Na kweli wana Arumeru wakaamua

Mtandao wa JamiiForums waweza kutangaza kwa uhakika kabisa kutokana na vyanzo makao makuu ya Jimbo huko Arumeru Mashariki kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeshinda uchaguzi mdogo ambapo mgombea wake Bw. Joshua Nassari ameibuka kidedea baada ya kumbwaga vibaya mgombea wa CCM Bw. Siyoi Sumari. Matokeo yanaonesha hadi hivi sasa baada ya zaidi ya asilimia 80 ya vituo vyote kuripoti CDM imeshinda kata 14 dhidi ya 3 za CCM.

Lakini mambo yalivyoanza kuwa magumu mara ghafla

who are u mpaka utangaze matokeo? Mbona Igunga hukufanya projections zako? Umesoma upepo unakoelekea ndio umejidaji kuja hapa na sredi uonekane kweli ulitabiri...this is poor from you MMM! Kama mchambuzi wa masuala ya kisiasa kuna watu walikuwa wanakuamini sana....lakini kitendo chako cha kuwa bias na kubase CDM muda wote kinakushusha sana,,,,,,again this is poor from you MMM!

Adimit defeat is not a sportsman...Congratulate Chadema.

Kushindwa kushindwa hakuna cha siri lazima tuwe wakweli Chadema wameshinda wanaitaji pongezi.

Popote ulipo kamanda wangu Rejeo, wewe ni shujaa najua muda wowote utajitokeza...tupo pamoja sana kwenye mapambano leo Magwanda yamefurahi kila jukwaa yanashangilia ushindi wa Arumeru Mashariki...

Mara ghafla tena mtu mzima akaamua kwenda JF Doctor kutafuta panadol au chanjo za Profesa Maji Marefu kutuliza maumivu.

Leo Magwanda yanafuraha yamejaa kila thread...ngoja nikajichimbie JF Doctor...

Lakini baadae ikabidi boss mwenyewe aje kumaliza mambo.

Kwa heshima nachukua nafasi hii kuwapongeza kwa dhati watani zetu, CHADEMA kwa ushindi walioupata Arumeru Mashariki na kwenye kata tatu(Kirumba, Kiwira na Lizabon).

Copyright owner wa "JF is never boring" hakupendezwa na hizi pongezi

hujafurahi CHADEMA kushinda
umefurahi LOWASSA kushindwa......

i know you are happy leo.....

Wengine walikana kabisa kuwepo kwa utani baina ya CCM na Chadema

Ndg.Nape,

…..Sisi sio watani zenu, tunawachana kweli kweli msije mkasema ilikuwa utani. Huwa hatuna utani na CCM.

Na mie nikajichomokezea kiaina kutaka kujua huu utani umeanzaje

Mie bado sijaelewa anaposema nyie ni watani wao. Huu utani umeanza lini? Maana huko nyuma alikuwa wanawaita Chandimu mara ghafla bin vuu sasa mmekuwa watani. Kawapandisha daraja kutoka Chandimu mpaka watani kwa uchaguzi mmoja tuu?

Nikajibiwa

Actually he's trying to paint a scenario that doesn't Exist ! CCM kweli hizi bakora chache hivi zimewarudisha kwenye line? na bado watakiona cha mtema kuni.............!

Jf is never boring: source - The Boss
 
Mchana mwema wote,bila ninyi JF itafungwa,naona Ritz anakunwa sana na mavitus ya CDM! karibu CDM japokuwa roho inakuuma,
 
Ritz bwana......

Weekend imeanza mapema kaka.

Anyways,Kamanda Alert Msando ni kamanda wa ukweli.Hata hivyo bado chama hakijafikia huku mkuu.Acha kupima upepo!

Ben,

Naomba kukuuliza, hivi wewe mwanachama wa chama gani?? Maana hiyo bendera yako inaelekea siyo ya CDM ingawa huwa unaonekana kuegemea CDM?? Nashindwa kuku-connect wewe na hiyo bendera kwa vile siifahamu!!
 
Mbona na wewe hujitaji kuwa ni mmoja wanaowania kuteuliwa na chama chako cha magamba kuwania jimbo hili
Maana mambo kurithishana eti si unaona Mwinyi, Bilal, Malima, Makamba, Kawawa, Sokoine, Malecela, Lowassa,

Ongeza Lusinde
 
Kama kawaida kubwa la Watanzania huwa tunasahau mapema mno.

Mara

Lakini

Mwingine akaomba kabisa ale ban kama Chadema ikishindwa

Lakini wa wengine waka-stick pale pale.

Rejao akaendelea kukaba.

Na kweli wana Arumeru wakaamua

Lakini mambo yalivyoanza kuwa magumu mara ghafla

Mara ghafla tena mtu mzima akaamua kwenda JF Doctor kutafuta panadol au chanjo za Profesa Maji Marefu kutuliza maumivu.

Lakini baadae ikabidi boss mwenyewe aje kumaliza mambo.

Copyright owner wa "JF is never boring" hakupendezwa na hizi pongezi

Wengine walikana kabisa kuwepo kwa utani baina ya CCM na Chadema

Na mie nikajichomokezea kiaina kutaka kujua huu utani umeanzaje

Nikajibiwa

Jf is never boring: source - The Boss

Mkuu,

Nimecheka sana....unapenda kuudhi watu kweli.usiwaharibie watu weekend bwana

Ben,

Naomba kukuuliza, hivi wewe mwanachama wa chama gani?? Maana hiyo bendera yako inaelekea siyo ya CDM ingawa huwa unaonekana kuegemea CDM?? Nashindwa kuku-connect wewe na hiyo bendera kwa vile siifahamu!!

Mr.Zero,

ukibadili user name itakuwa rahisi kupata majibu.Subiri mchakato majimboni utajua/utaona...........(kidding)
 
Ritz bwana......

Weekend imeanza mapema kaka.

Anyways,Kamanda Alert Msando ni kamanda wa ukweli.Hata hivyo bado chama hakijafikia huku mkuu.Acha kupima upepo!

Huyu jama si ndio alipiga hela ya kutosha DARUSO? Nadhani udiwani wa Mabogini ndio saizi yake...
 
kweli wakimchagua Albert Msando hata mimi mwana CCM nitampa kura yangu . ana uwezo mkubwa na ana elimu safi ila tu aache yale mambo yetu kama sio kupunguza kabisa.
 
Kwa Arusha yeyote atakayepitisha kwa upande wa Chadema atashinda.Tatizo liko kwa watani wetu
CCM.Kwa Arusha labda CCM wamsimamishe Mwakasege!Teh!teh!
 
Wanabodi.

Kwa mujibu wa habari kutoka Arusha zinasema kuwa makada wa Chadema wametajwa kuanza kupigana vikumbo vya kuwania ubunge jimbo la Arusha mjini.

Taarifa hizo zimewataja walianza mkakati wa kuwania kuteuliwa na Chadema ni Mkurugenzi wa kampuni ya Horizon Group, Brighton Mushi, Calist Lazaro, diwani wa kata ya Levolosi Afatha Nanyaro, diwani wa kata ya Mabogini wiliyani Moshi vijijini, Albert Msando, Victor Njau, Dereck Magoma.

Kinachosubiliwa ni rufaa ya Lema, kila mmoja amekuwa akiungwa mkono na kundi lake katika mbio za kumrithi Lema wakati wakisubiri hukumu ya mahakama.

Taarifa hizo zimetaja mbunge wa jimbo la Moshi mjini Phillemon Ndensamburo kumpigia debe Msando ndani na nje ya chama hicho kwa lengo la kumjenga wakati wakisubiri hukumu ya mahakama.

Peleka umbea wako kwenye FB wall ya Nape cyo hapa.
 
Huyu jama si ndio alipiga hela ya kutosha DARUSO? Nadhani udiwani wa Mabogini ndio saizi yake...

Mkuu Rejao,
Vipi zile Machinga Complex mbili na hosptal alizotoa ahadi Lema wamefikia wapi.

Lema kasema ataendelea kusomesha wanafunzi 417 wa sekondari za kata kupitia mfuko wa maendeleo ya jimbo la Arusha (ArDF). Lakini Machinga Complex na hospital kakataa kuviongelea.

Ukipiga hesabu ya kawaida Ada za shule za kata ni 1500 kwa kila mwanafunzi kwa mwaka.

1500X417=6,255,000.
 
Huyu jama si ndio alipiga hela ya kutosha DARUSO? Nadhani udiwani wa Mabogini ndio saizi yake...

Angekuwa amefikia hatua hiyo principles za CHADEMA zingemtoa nje ya system.Msianze kuzushia watu tuhuma kwa kulazimisha....uchafu wake/wetu hautawafanya ninyi kuwa wasafi.
 
Mkuu Rejao,
Vipi zile Machinga Complex mbili na hosptal alizotoa ahadi Lema wamefikia wapi.

Lema kasema ataendelea kusomesha wanafunzi 417 wa sekondari za kata kupitia mfuko wa maendeleo ya jimbo la Arusha (ArDF). Lakini Machinga Complex na hospital kakataa kuviongelea.

Ukipiga hesabu ya kawaida Ada za shule za kata ni 1500 kwa kila mwanafunzi kwa mwaka.

1500X417=6,255,000.
Huwa watu tunafahamu kuwa machalii wa Arusha ni wajanja but Lema aliweza kuwaingiza mjini kiulaini!! Ama kweli mchaga ni mchaga tu!!
 
Angekuwa amefikia hatua hiyo principles za CHADEMA zingemtoa nje ya system.Msianze kuzushia watu tuhuma kwa kulazimisha....uchafu wake/wetu hautawafanya ninyi kuwa wasafi.
Na yale mambo yetu ameacha? how about his family...tukianza kumchambua hapa hii thread haitatosha! Ni vizuri ukamuondoa machoni kwetu mapema!!
 
Na yale mambo yetu ameacha? how about his family...tukianza kumchambua hapa hii thread haitatosha! Ni vizuri ukamuondoa machoni kwetu mapema!!

Rejao nawe.....!

Tunajua hizo ndiyo sera na falsafa zenu kwa muda huu.Lusinde ni reflection ya legacy na falsafa ya CCM majukwaani siku hizi. Hatuogopi kama mtaendelea kuienzi falsafa yenu hii.Ombwe la hoja CCM halina mbadala,ni lazima lizibwe kwa itikadi yenu hiyo ......lol
 
Back
Top Bottom