Mbinu za Yanga kushinda

JOHN MADIBA

JF-Expert Member
Jan 30, 2011
251
155
Mbinu za yanga kufunga umeme ulipokatika wakati mechi inaendelea walitoa tochi kwenye chupi nakutumia kuchezea mpira na kubahatisha kupata goli moja baada ya hapo refa akamaliza mpira. Kocha wao akachukua ambulence kuwamulikia wakabiziwe kombe. ushindi wa mizengwe. walijuaje umeme utakatika wakaingia uwanjani na tochi bila refa kusema lolote simba tumefanyiwa dhuluma. wakati wachezaji wa simba hawaoni mpira wao walikua wanatumia tochi zwalizoficha kwenye chupi mpira wa bongo unavituka lakini hii imepitiliza hadi supar sport walibidi wakate matangazo ili fifa isione huu ujinga....
 
Mbona hueleweki? We itakuwa Simba na saa hizi unaweka vitu kukata majonzi. Punguza ghadhab ndio mchezo.
 
Yaelekea hata hukuangali. Madhara ya kusimuliwa haya. Umeme ulikatiika baada ya mechi kwisha. Toa upupu hapa
 
kwa wale wenye mabosi ambao wanashabikia simba kesho ofisini hakukaliki pia pamoja na wanafunzi ambao walimu wao ni washabiki wa simba kesho msile mzaha
 
Bosi wangu ni simba damu ila leo anaaibu sijapata kuona.
Mbona msimbazi naona manyoya?
Kaliwa nini?
 
Ama kweli ulingo wa jokes ha ha haaa...yanga wamezima umeme u/taifa
 
Mbinu za yanga kufunga umeme ulipokatika wakati mechi inaendelea walitoa tochi kwenye chupi nakutumia kuchezea mpira na kubahatisha kupata goli moja baada ya hapo refa akamaliza mpira. Kocha wao akachukua ambulence kuwamulikia wakabiziwe kombe. ushindi wa mizengwe. walijuaje umeme utakatika wakaingia uwanjani na tochi bila refa kusema lolote simba tumefanyiwa dhuluma. wakati wachezaji wa simba hawaoni mpira wao walikua wanatumia tochi zwalizoficha kwenye chupi mpira wa bongo unavituka lakini hii imepitiliza hadi supar sport walibidi wakate matangazo ili fifa isione huu ujinga....
Nenda Hospitali ya MIREMBE!
 
umenichekesha! Eti tochi zilifichwa kwa chupi! Walijua umeme utakatika cuz kuna mgao au we hujui?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom