Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 2,705
- 4,423
Habari za Jioni Mabro
Kuna watu naona wanalalamika kuwa 300K ni mshahara mdogo sana hauwezi kukidhi mahitaji ya mtu na familia yake
Ila kiuhalisia kabisa hiyo pesa ni nyingi sana sana kwa mtu kulipwa kwa mwezi hasa hasa kwa hapa Dar es salaam ambayo vitu vingi gharama zake ni nafuu sana
Kuna kiwanda fulani nilikuwa nafanya kazi kipindi hiko baada ya kumaliza form four sasa kuna mtu nilipangiwa nae kufanya kazi pamoja alikuwa ni mtu mzima sana na katika stori za hapa na pale alinambia yeye anaishi na mkewe na wana mtoto mmoja anasoma shule ya msingi
Na sehemu tuliyokuwa tunafanya kazi tulikuwa tunalipwa 5000 kwa siku na mshkaji anasema hiyo hiyo anasurvive vizurii tu na familia yake, analipa kodi ya chumba,mtoto anaenda shule na wanakula vizuri tu halaf mi kipindi hiko chalii nilirudi mtaani tu mshiko umeisha tayari kesho naamsha tena
Nikajua shida sio posho/mshahara kuwa mdogo tatizo ni matumizi yako binafsi watu wengi duniani hatuna utamaduni wa kusave pesa na watu wengi pia tunafanya matumizi yasiyo ya lazima kwa kiwango kikubwa sana
Matumizi yasiyo ya lazima hayaepukiki ila yanaweza kupunguzika kabisa
Tujijengee tabia ya kusave for the future na zifuatazo ni namna ambavyo mtu unaweza kusave pesa yako
1.Usifanye maamuzi ya kihisia kuhusu masuala ya pesa
2.Usifanye manunuzi ukiwa na njaa
3.Epuka vyakula visivyo na afya
4.Soma vitabu kuhusu usimamizi wa fedha
5.Usinunue nguo zisizo za lazima
6.Omba punguzo kila unapoenda kununua bidhaa fulani
7.Anza kuandika matumizi yote
8.Usibet,usivute sigara,usinywe pombe
Mbinu nyingine wajuvi mtaongezea
It's me Foffana
"Tunapoishi Giza kali hata mungu haji"