Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,115
- 12,540
Mimi nina kitu kimoja ambacho huwa nawaza sana huwa ninafikiri kama ambavyo tunatofautiana rangi za ngozi zetu na mionekano pia hata uwezo wa akili na kufikiri baina yetu ni tofauti kabisa.With all due respect kuna namna tunakwama sana hii race yetu.
Nitakutolea mfano, miaka miwili nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na mdada wa kijerumani, alikuwa ni doctor na ana miaka miwili tu toka ametoka amepata kazi.
Kuna wakati tulikuwa tunazungumza future yetu yule dada aliweka very clear kuwa hayupo kuingia kwenye ndoa within five yrs kutoka pale sababu kubwa anahitaji time kudevelop carrier yake na maisha kwa ujumla na ikitokea akafunga ndoa baada ya muda ule anahitaji kuenjoy maisha ya ndoa atleast miaka mitatu kabla hajafikiria kubeba ujauzito wa kwanza na by that time alikuwa na miaka 32 mi nikipiga hesabu zake hapo si chini ya miaka 8, nikaona mambo yasiwe mengi nikapita vilee.
Kiufupi wenzetu wanaplan na kuweka vipaumbele sana mipango ya maisha yao na ndoa mara nyingi inakuja baadae wakati kashaweka mambo yake sawa, sasa sisi wabongo hasa watoto wa kike kwanza ndoa wamechukulia kama kitega uchumi ama tool ya kutatua shida zao za kiuchumi ndio maana wengi wapo desperately, na expectations kibao.
Sisi kuweza kutofautiana kirangi pia kiakili hatupo sawa namna wanavyo fikiri wazungu na watu wa far east hasa wajapan, wakorea, wachina ni tofauti kabisa na uwezo wa kufikiri na kuona kiurefu mambo kadhaa tulio nao sisi watu weusi.
Bado ninaendelea kulifuatilia hili. Ila sisi ni tofauti kabisa na hao watu weupe sisi tunawaza vitu vyepesi vyepesi na vya hovyo muda mwingi hatupo focus hata viongozi wetu wana thibitisha hili.
Sisi watu weusi hatupo sawa kabisa kufikiri na hao watu weupe.