Wabongo Ni wapumbavu acha wanyooshweninachokiona.......na hasa sisi Watanzania......tutapiga porojo weeeee.....tutalaani weeee.....in few weeks....we forget kila kitu...na maisha yanasonga.....cha msingi elewa hizi gharama ni kubwa sana....now wale ndugu zetu wa mikoani ndio itakuwa taabu sana.....we use to send money kila kukicha...now tunapunguza.......WATANZANIA hebu tupige kelele ndugu zangu.....labda SASHA atatusikia.........na CCM walivyo wamekubuhu.....uchaguzi ukikaribia...MKCHAKATO WA KATIBA MPYA UTAANZA.....hapo weshatutoa reli na kutupaisha....wakishinda tuu...tunarudishwa kwenye reli yetu......😡😡😡
Tena unanunua ya spider man kabisa au ya sophiaNdio siku mtoto wake atakapo chukua na kwenda nayo school, kumbe ndani kuna mzigo wa kutosha. Anaweza akamfata kwa miguu bila viatu.[emoji3][emoji3][emoji3]
Muda wakuwa na line moja umewadiaWalisema kama Kodi ni 1000 Kwa mwezi, na hujatumia simu miezi 3, siku ukiweka bando Tu, elfu 3 lazma iondoke kwanza.
Au moto ukitokea,au ukivamiwa na jambaziNdio siku mtoto wake atakapo chukua na kwenda nayo school, kumbe ndani kuna mzigo wa kutosha. Anaweza akamfata kwa miguu bila viatu.[emoji3][emoji3][emoji3]
Ma.vi yaooo!!! Wajaribu waone.Watakuja na sheria huruhusiwi kuwa na laki tano 5 ukikutwa nayo miaka 5 jela
Uber/Bolt nayo waweke kodiNina ki twenty changu benki nilitaka nikivute kwenye simu wacha tu niende ATM...
Kwa kipato chako utapunguza tu, kuacha huwezi.Binafsi. Natumia mbinu zifuatazo
1.sipigi simu ovyo unless kuwe na ishu ya msingi
2. Situmi hela kabisa kwa mitandao pia itokee dharura sana.
3.luku sijui nini naenda kununua physically kwa wakala
4.Hi mambo ya simu banking nimetoa kabisa
5. Nikitaka 50,000 natoka 400,000 mpunga naweka home
6. Hapa yenyewe natumia wireless ya kazini nikitoka hapa hamnipati
No way. Bunge sasa ni la chama kimoja.
Nchi mtajenga wenzangu
Wenye mbinu mbadala tupeana
Hakuna hii inaitwa nchi yetu trust me. CCM ndo wanaweza thubutu sema hivo ss wengine ni kama tenants tu. Kila kitu tunapangiwa na unaambiwa kama hukubaliani nenda kaishi huko unataka. Very sadkufanikisha hili kwanza tunahitaji mabadiliko ya fikra halafu tuache na ubinafsi tuipiganie nchi kitu ambacho hatuna kila mtu anaangalia familia yake bila kuiangalia nchi kwa ukubwa kwa ajili ya vizazi vijavyo na hii ndio inapelekea umasikini kutokuisha na unatoka kizazi kimoja kwenda kingine.
maisha yetu ya sasa hayatotofautiana sana na maisha ya wanetu.
tushirikiane kudai KATIBA MPYA nchi ni yetu sote ,tuipende na kuipigania.
Ni kweli. Na mm najibana ili maumivu yapungua. Siku tukikubaliana kuwa sasa imetosha wote tutasimama kwa pamoja kudai katiba mpya. Sasa hivi tupigike kwanza hata ni suala la muda tu.Kwa kipato chako utapunguza tu, kuacha huwezi.
Wale wenye kubangaiza mkono uende kinywani ndio watalazimika kuacha kutumia hizi huduma makato
Wamemejisahau, wanakula na kipofu sasa wanamshika na mkono.Ni kweli. Na mm najibana ili maumivu yapungua. Siku tukikubaliana kuwa sasa imetosha wote tutasimama kwa pamoja kudai katiba mpya. Sasa hivi tupigike kwanza hata ni suala la muda tu.
Tulizo nazo zitakuwa zinajifunga taratibu maana zitakosa pesa yakutumiaMimi hii nilishakuwa nayo kitambo