Kifuniko
Member
- May 20, 2011
- 97
- 19
Hebu tukumbushane ni mbinu gani ya kuibia kwenye mtihani enzi zako ilitisha, mimi nakumbuka jamaa alichukua karatasi ya mwenzake ili aigilizie mwalimu akaja na akaganda bila kuondoka jamaa akashindwa kuirudisha na muda wa kukusanya umefika, mwenye karatasi akainuka vibaya akanyanyuka na meza ikaanguka akamwaga kila kitu chini then kila mtu akaokota kilicho chake wakakusanya,mwalimu hakujua nini kinaendelea